Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
Sawa, tutampa hata akae madarakani milele, kwani unateseka nini?
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Wazo zuri angarau hadi 2040 ndo aachie tunamwitaji sana
 
Kwanza sijauliza kama anaweza au hawezi. Kwa hivyo mpaka hapo hujaelewa swali.

Inaonekana una tatizo la kufikiri kidhahania.

Pili, unafanya logical fallacy ya "argument from dictionary". Katiba inachosema si muhimu. Muhimu ni principle. Kama alivyisema Samia, katiba ni kitabu tu, kitu muhimu zaidi ni je, watu wanaishi kwa kufuata hizo principkes za katiba?

Mnaamini katika principle ya kupokezana uongozi au hamuiamini?

Hamtakiwi kuwa na double standard, kwamba kwa Samia alazimishwe kuondoka uongozini, lakini kwa Mbowe asilazimishwe. Huo ni undumilakuwili.

Mimi si CCM. Mimi ni mtu nisiye na chama.

Kwa nini mnaona kila anayekosoa mambo ya CHADEMA ni CCM?

Nyie CHADEMA mnajinadi kuwa ni chama mbadala, cha kuiondoa CCM.

Sasa, ikiwa chama kilicho madarakani kinaweza kubadilisha viongozi, inakuwaje chama mbadala kishindwe?

Yani nyie CHADEMA mnaotaka kutuonesha uongozi wa kisasa zaidi kushinda CCM ndio muwe wa kuturudisha nyuma na kuturudisha kwenye uongozi wa kisultani wa kuwa na mtu mmoja kwa miaka nenda rudi?
Nadhani unafosi katiba ya Tz ifanane na katiba ya Chadema, ni wapi chadema walipovunja katiba yao? Mangula tangu nikiwa mdogo yeye alikuwa ni makamu mwenyekiti tu miaka yote ni juzi juzi tu aliachia, ila hatujawahi kusikia chadema wakilalamikia hilo, sasa sisi tunashangaa inakuwaje ccm kindaki ndaki ndo hawamtaki mbowe? Toka lini ccm wakawa wema kwa chadema kiasi kwamba wanataka wawapangie mambo yao ya ndani namna ya kubadilisha viongozi?
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!

Naunga mkono hii hoja. So far anafanya kazi nzuri ...!!

maCCM hawapendi kusikia hii kitu ... lakini ndiyo ukweli wenyewe. Kila kukicha utasikia wanamuandama Mbowe wanawaacha akina Cheyo na Lipumba ....!!
 
Nadhani unafosi katiba ya Tz ifanane na katiba ya Chadema, ni wapi chadema walipovunja katiba yao? Mangula tangu nikiwa mdogo yeye alikuwa ni makamu mwenyekiti tu miaka yote ni juzi juzi tu aliachia, ila hatujawahi kusikia chadema wakilalamikia hilo, sasa sisi tunashangaa inakuwaje ccm kindaki ndaki ndo hawamtaki mbowe? Toka lini ccm wakawa wema kwa chadema kiasi kwamba wanataka wawapangie mambo yao ya ndani namna ya kubadilisha viongozi?
Mkuu,

Unaelewa kuwa siongelei katiba, naongelea kanuni?

Unaelewa kanuni ni msingi wa chini zaidi ya katiba?

CHADEMA inaamini katika kanuni ya kupokezana madaraka? Au haiamini katika kanuni hiyo?
 
Kwa hiyo nyumbu wote mmemkabidhi akili Mbowe? Nimefurahi kuona angalau nyumbu mmoja amejitokeza hadharani na kukiri kwenye chama kizima hakuna mwenye akili ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Nilishawahi kuandika hili suala pia. Nilikuwa mbele sana ya muda
 
Mzee Mbowe anaamini kabisa kuwa kutumia siasa za ukabila na ukanda atafanikiwa .Hakika hawa wafuasi wa CDM ni machizi kweli kweli[emoji2297][emoji2297]
Kuna mtu aliyekuwa mkabila kama Magufuli? Mbowe akaze uzi hawa kenge wanataka kuichezea Chadema. Ni kwann kukaa kwake madarakani kunawaumiza wasiokuwa wanachadema? Tulieni dawa ipenye
 
Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
Chama anakabidhiwa mtoto wa Mbowe aitwae James. Huyo ndo mrithi wa uenyekiti
 
Mbowe ndo kirusi ndan ya Chadema na endapo sku wanachadema akili zikiwarud na kumtoa mbowe madalakan bas ndo utakua mwanzo wa kusogerea chamwino

Ila mkiendelea kumkumbatia uyo kirusi wenu mbowe bas ata 2030 kazi mnayo tena kubwa hamtoboi na hamtatoboa

Mbowe na mbinu zake zle zle zilizoshapitwa na wakat anatishia kutoshiriki uchaguzi wakat uwo amesahau kuna vyama vya upinzani zaid ya 20 vitashiriki uchaguzi ambao anatishia yeye hatoshiriki
Kajifunze kwanza kuandika madalakan=madarakani
 
Sisi tanaangalia mzigo ufike panapohusika na sio hali ya punda! Tunakuomba sana mheshimiwa Freeman Mbowe kama unawapenda watanzania na CHADEMA usifanye kosa la kuachia uongozi wa chama kabla ya angalau 2030.

CHADEMA sio chama cha kuchukuliwa kiepesi epesi, CHADEMA ndio upinzani nchi hii na upinzani wa nchi hii ni CHADEMA. Siku CHADEMA ikifa ndio upinzani umekufa hivyo! Ikumbukwe kuwa kujenga chama imara kama CHADEMA huchukua si chini ya miaka 30.

Tafadhali sana mheshimiwa Mbowe, hatma ya upinzani na demokrasia ya nchi hii vipo mikononi mwako kuliko watu wengi wanavyojua. Hakuna kiongozi mwingine wa upinzani amebaki hai leo hii wote akina Lipumba, Mrema, Zitto, Cheyo, Shibuda, Mbatia na wengine, hao wote ni kundi moja, hawapo tena na hawana ushawishi kwa watanzania, umebaki wewe peke yako na unaangaliwa na watanzania kwa matumaini makubwa.

Siku utakapofanya kosa la kuachia uongozi wa CHADEMA kabla ya 2030, basi siasa za vyama vingi zitarudi zilipoanzia, 1995.

Usiangalie mashinikizo ya watu, kwanza wengi wa hao ni CCM wala si CHADEMA. Kumbuka wewe umetumwa kwa ajili ya Watanzania na wala hujajituma mwenyewe! Tafadhali subiri hadi 2030 na sio vinginevyo!
Mbowe, Aikael Freeman be humble Politics is a game of chance within the time framework. Unataka kuijiona wewe ndiye Siasa za Upinzani kimtazamo wa Kisiasa wewe ni Dictator leader becz you believe in yourself and not others. Unajiona Wewe ni bora kuliko Wengine kama umejiumba, Umejipa Afya, Umejipa akili, umejipa uhai, Umejipa Maisha wewe na Kwamba kile ulichojipa Wengine hawana Sidhani kama hiyo ni Demokrasia.
Mbowe toka Mwaka 2000 Wewe ni Mwenyekiti wa Chadema yaani walliozaliwa miaka 1999/2000 wote Wakiwa na umri wa miaka 24 sasa Watu Wazma lakini Bado Upo. Hizi Kitu kinachoitwa Siasa nyie mmekitafsirije Kwenye tasnia ya Siasa.
NB: Naamini Vijana Watalitafakari ili angalau Upishe Vijana Wenye Siasa zao. Yaani unazurula tu Maandamano Maandamano lakini Matokeo yake Ukitoka tu kila Mtu anakucheka. Maderva wa Bodaboda Wanajaziwa Mafuta na watu kugawiwa Elfu 10 ili kutengeneza sura ya Maandamano na wakitoka hapo Wanakucheka.
Ushauri kwako Mzee wa Gia angani umejitahidi Kwenye Siasa nakuomba tuachie ngazi na huyo Makamo wako Ambaye anallambalamba Midomo tu. Kwa Kipindi Mlichokaa kaeni Pembeni nyie na Tundu wako bakini Kwenye Ushauri Kwenye Baraza la Wazee wa Chama.
Tactically: Siasa zenu zinachekesha haxieleweki zina lengo gani. Mnaishi kwa Matukio kama vile Ugonjwa wa Kuhara unaojitokeza Kipindi cha mvua. Am tired to write ila mnaboa sana 😎😎😎😎
 
Kwa hiyo wanachadema wote ni wasaliti na hawana akili ya kuongoza chama isipokuwa Mbowe. Aisee hiyo ni zaidi ya ibada.
 
Back
Top Bottom