Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
Sawa, tutampa hata akae madarakani milele, kwani unateseka nini?
 
Wazo zuri angarau hadi 2040 ndo aachie tunamwitaji sana
 
Nadhani unafosi katiba ya Tz ifanane na katiba ya Chadema, ni wapi chadema walipovunja katiba yao? Mangula tangu nikiwa mdogo yeye alikuwa ni makamu mwenyekiti tu miaka yote ni juzi juzi tu aliachia, ila hatujawahi kusikia chadema wakilalamikia hilo, sasa sisi tunashangaa inakuwaje ccm kindaki ndaki ndo hawamtaki mbowe? Toka lini ccm wakawa wema kwa chadema kiasi kwamba wanataka wawapangie mambo yao ya ndani namna ya kubadilisha viongozi?
 

Naunga mkono hii hoja. So far anafanya kazi nzuri ...!!

maCCM hawapendi kusikia hii kitu ... lakini ndiyo ukweli wenyewe. Kila kukicha utasikia wanamuandama Mbowe wanawaacha akina Cheyo na Lipumba ....!!
 
Mkuu,

Unaelewa kuwa siongelei katiba, naongelea kanuni?

Unaelewa kanuni ni msingi wa chini zaidi ya katiba?

CHADEMA inaamini katika kanuni ya kupokezana madaraka? Au haiamini katika kanuni hiyo?
 
Pamoja na hayo anatakiwa kumuandaa atakayemrithi!
 
Kwa hiyo nyumbu wote mmemkabidhi akili Mbowe? Nimefurahi kuona angalau nyumbu mmoja amejitokeza hadharani na kukiri kwenye chama kizima hakuna mwenye akili ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA. Nilishawahi kuandika hili suala pia. Nilikuwa mbele sana ya muda
 
Mzee Mbowe anaamini kabisa kuwa kutumia siasa za ukabila na ukanda atafanikiwa .Hakika hawa wafuasi wa CDM ni machizi kweli kweli[emoji2297][emoji2297]
Kuna mtu aliyekuwa mkabila kama Magufuli? Mbowe akaze uzi hawa kenge wanataka kuichezea Chadema. Ni kwann kukaa kwake madarakani kunawaumiza wasiokuwa wanachadema? Tulieni dawa ipenye
 
Kwa hiyo mkoo tayari upinzani nao kuendelea kuendeshwa kisultani ehhe ,umesahau kuwa prom anayopewaa Lema na sababu ni binamu yake Mzee Mbowe?yule mrema wa mambo ya nje kao binamu yake mzee mbowe?
Chama anakabidhiwa mtoto wa Mbowe aitwae James. Huyo ndo mrithi wa uenyekiti
 
Kajifunze kwanza kuandika madalakan=madarakani
 
Mbowe, Aikael Freeman be humble Politics is a game of chance within the time framework. Unataka kuijiona wewe ndiye Siasa za Upinzani kimtazamo wa Kisiasa wewe ni Dictator leader becz you believe in yourself and not others. Unajiona Wewe ni bora kuliko Wengine kama umejiumba, Umejipa Afya, Umejipa akili, umejipa uhai, Umejipa Maisha wewe na Kwamba kile ulichojipa Wengine hawana Sidhani kama hiyo ni Demokrasia.
Mbowe toka Mwaka 2000 Wewe ni Mwenyekiti wa Chadema yaani walliozaliwa miaka 1999/2000 wote Wakiwa na umri wa miaka 24 sasa Watu Wazma lakini Bado Upo. Hizi Kitu kinachoitwa Siasa nyie mmekitafsirije Kwenye tasnia ya Siasa.
NB: Naamini Vijana Watalitafakari ili angalau Upishe Vijana Wenye Siasa zao. Yaani unazurula tu Maandamano Maandamano lakini Matokeo yake Ukitoka tu kila Mtu anakucheka. Maderva wa Bodaboda Wanajaziwa Mafuta na watu kugawiwa Elfu 10 ili kutengeneza sura ya Maandamano na wakitoka hapo Wanakucheka.
Ushauri kwako Mzee wa Gia angani umejitahidi Kwenye Siasa nakuomba tuachie ngazi na huyo Makamo wako Ambaye anallambalamba Midomo tu. Kwa Kipindi Mlichokaa kaeni Pembeni nyie na Tundu wako bakini Kwenye Ushauri Kwenye Baraza la Wazee wa Chama.
Tactically: Siasa zenu zinachekesha haxieleweki zina lengo gani. Mnaishi kwa Matukio kama vile Ugonjwa wa Kuhara unaojitokeza Kipindi cha mvua. Am tired to write ila mnaboa sana 😎😎😎😎
 
Kwa hiyo wanachadema wote ni wasaliti na hawana akili ya kuongoza chama isipokuwa Mbowe. Aisee hiyo ni zaidi ya ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…