Mbowe usifanye kosa la kuachia Uenyekiti CHADEMA kabla ya 2030 vinginevyo tutarudi miaka ile myeusi (1995)

Mbowe ni kigando aka gundi na king'ang'anizi chama ni cha mkwe wake amuachie nani ,huyu ni ruba kabisa
 
Eti apambane na CCM? Mmesahau kuwa mgombea toka ccm ndio aliwapa uhai cdm?mmesahau kuwa mzee alipata kura laki nane tu alipogombea Uraisi na hizo kura laki nane zaidi ya aslimia 90 alizipata toka Arusha na Kilimanjaro ?
Hizo takwimu alizitoa nani? wa wp? wa kabila lipi? watu wanasahau kuwa, kuna watu wanaishi na kuneemeka ktokana na hii katiba ilioitwa "kijitabu" ya 1977 ya chama 1. Woga wte wa Ktb mpya unatokana na yapatkanayo toka Ktb hiyo. Hawajui watakuwa wp katiba ikibadlishwa au pakiwa na mabadliko ya tume ya uchaguzi. Kula yao, nguvu zao, kelele zao zatokana na hicho "kijitabu". Wabadilishe waone ...nk
 
Mbowe ni kigando aka gundi na king'ang'anizi chama ni cha mkwe wake amuachie nani ,huyu ni ruba kabisa
Nilifikiri utaichukia CCM kwa jinsi walivyoshindwa kuondoa umaskini uliokithiri kwa miaka 60 sasa kumbe unamchukia Mbowe anayekupambania?!!
 
Haruhusiwi kubadilisha katiba.

Ama unakwepa kujibu hoja kwa makusudi.

Ama una tatizo la kuweza kufanya fikra za kidhahania.

Nakuuliza, ukipewa nafasi ya kurudi nyuma katika muda ukabadilishe kitu kimoja katika maisha yako, utabadilisha kitu gani?

Unanijibu kwamba, kurudi nyuma katika muda kwenye maisha yako ni kitu kisichowezekana.

Hujaelewa swali. Ama unalikwepa kwa hila tu.

CHADEMA inaamini katika kanuni ya kupishana uongozi? Au haiamini katika kanuni hiyo?
 
Pumba tupu.
 
Pumba tupu.
Kwanini ni Pumba tu! Nadhani Wewe ni Muumini wa Demokrasia je kuna Demokrasia ya kutobadilishana Madaraka kwa Vipindi au kuna Demokrasia ya Mtu kuongoza kama amefunga ndoa nacho tena ndoa ya Shida na raha ile ya Kikristo.
 
Nilifikiri utaichukia CCM kwa jinsi walivyoshindwa kuondoa umaskini uliokithiri kwa miaka 60 sasa kumbe unamchukia Mbowe anayekupambania?!!
Umasikini na masikini ni mentality hauondolewi na chama au serikali ,ndio maana ulaya kuna nchi ni masikini ,na kwenye nchi tajiri kuna masikini; umasikini unaondolewa na mtu binafsi,chukua hii itakusaidia wewe na kizazi chako mimi na kizazi changu tumevuka huko kulaumu watu,vitu serikali kwa matatizo binafsi.
 
Naona ni afadhali kwa maana ni mchanganyiko wa makabila ,nyie cdm hadi viongozi wa mikoa ambayo sio ya uchaggani mmeweka viongozi wachagga,mnatia aibu aisee
 
Wewe bwege sana yaan niue niwe naandika hapa?

Nakuambia tena Mbowe Hana Muda mrefu hapo Cdm ataondoka naturally kama wengine

Mbowe sura tu inaonyesha kachoka kimwili, kiakili

Akalee wajukuu huko Nshara
Mzee Mbowe hawezi kuachia chadema labda nguvu itumike tu.
 
Ndio kila mtu binafsi anapaswa kuchangia kuondokana na umaskini wake, ila usisahau kuwa lazima mifumo mizuri iwekwe ili mtu aondokane na umaskini. Ulaya, America, Asia, nk umaskini umeondoka kwa kiasi kikubwa pia ni kwasababu ya mipango mizuri ya serikali. Watu binafsi hawawezi kujenga barabara, na miundombinu mingine mingi kuwaondoa kwenye umaskini. Sijui kwanini watanzania bado mnapenda kubaki na ccm hata baada ya miaka 60. Hii inaonesha jinsi mlivyo na akili mgando.
 
Naona ni afadhali kwa maana ni mchanganyiko wa makabila ,nyie cdm hadi viongozi wa mikoa ambayo sio ya uchaggani mmeweka viongozi wachagga,mnatia aibu aisee
Nashukuru kwa kunifahamisha kuwa Lissu, Heche, Sharifa Suleiman, Ruge, Mwalimu, Mnyika wote ni wachaga. Na wakristu.

Amandla...
 
Nashukuru kwa kunifahamisha kuwa Lissu, Heche, Sharifa Suleiman, Ruge, Mwalimu, Mnyika wote ni wachaga. Na wakristu.

Amandla...
Hao uliotaja ni mateka wa mzee mbowe na ndio wanaotumika kuonyesha kuwa cdm hakuna ukabila ,SHAME
 
Nashukuru kwa kunifahamisha kuwa Lissu, Heche, Sharifa Suleiman, Ruge, Mwalimu, Mnyika wote ni wachaga. Na wakristu.

Amandla...
Hivyo huna taarifa kuwa mnyika ni mpare kwa malezi kwa maana kakulia kwa mama kule upareni,manalazamisha awe msukuma labda kwa asili (baba yake ) ila hata siku moja hakuwahi kwenda mwanza kwa huo aliekuwa baba yake.
 
Mnyika ni mpare

Ni Siri nzito sana

Hivi kapona umirembe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…