Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

ilisaidia nini? zilirudishwa?
 
End of thread!!! Haya nawe ukatunge hadithi kama za yule Nyerere wa mchongo wa Mbutu kigamboni, maana nae amelima matuta mawili ya matembele akaanza kujipa umuhimu na vitabu vyake vya hadithi za aldu lela ulela.
 

Attachments

  • IMG-20241017-WA0007.jpg
    69.6 KB · Views: 1
Uko na akili meku
 
Nyie ndio mmetumwa kuivuruga Chadema.

Fundi Mchundo
Lusungo
 
Lissu akipewa uwenyekiti - Msigwa mjumbe Kamati kuu.

CDM na CCM vitakuwa vyama rafiki.
 
Kikundi cha Wachaga mliojitolea vs Mnyaturu mmoja 🔥🔥🔥
 
Matokeo ya Uchaguzi wa Mwaka huu yatawafurahisa sana, Mumdhaniaye ndiye, Siye
 
Na maneno aliyosema leo, Lazima huko ccm wanawafikiria wakurya wa Tarine, maana kasema lazima wauze dhahabu watu watajilike. Sasa wawekezaji na ccm kazi wanayo sana kwa sasa kuukabili huu moto wake na Lissu.
Kwami nani alikuwa anawazuia kiwasha.moto, ukinga ti. Wacha waanea confrontational politics mnyeshewe risasi
 
😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…