- Thread starter
- #61
ilisaidia nini? zilirudishwa?Watamwachia Saccos yake usijari,ni mtu mpbavu tu ambaye hawezi kuona uzalendo, ujasiri,na ukweli wa Tundu Lissu,
Huyu ndo mwanasiasa pekee Tanzania aliye jitokeza hadharani sakata la Escrow Kwa kutaja majina na account zilizo tumika kula mgao bila ya woga wowote sio mtu wa kawaida