Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Hilo unalijua wewe! Asilimia kubwa ya Wachaga hamkumpenda Magufuli kwa usukuma wake!

Hakuwa msukuma na alichukiwa kwa uovu wake. Msimfiche kwenye usukuma wakati hakuwa msukuma. Mimi sio mchaga na sikumkubali kwa matendo yake maovu na kiburi cha madaraka. Wasukuma hawana viburi.
 
Magufuli aliwanyima wachaga usingizi kwa usukuma wake au kwa kiburi cha madaraka? Kwanza isitoshe Magufuli hakuwa msukuma bali alijificha kwenye usukuma.
Na wala hakuwa ccm bali alijificha ccm, ccm hata kama ina maovu yake ya wizi wa uchaguzi lakin haina tabia za makatili
 
Hakuwa msukuma na alichukiwa kwa uovu wake. Msimfiche kwenye usukuma wakati hakuwa msukuma. Mimi sio mchaga na sikumkubali kwa matendo yake maovu na kiburi cha madaraka. Wasukuma hawana viburi.
Mbona makonda na mnyeti kila siku mnasema wanakiburi?
 
Ahahaha! kalaghabaho. Wee endeleza chuki za katili maguful hapa wakat sasa hivi mchaga mwenzako yupo ukrain na russia ameshika mtutu sambamba na wenyeji, vita ikiisha anaibuka na vituo vya mafuta.

Wee badala utafute namna ya kuacha kuzunguka maporin na mifugo unamfuatilia mwisrael wa Tanzania. Mwisrael wa mashariki ya kat yupo katika ti ya waarabu anapiga mtutu kutwa kucha, karne na karne, ulishaona ameterereka?!!

One lov mzee, no hate. Tulishatokaga huko. Kiwango cha ustaarabu cha mchaga kipo juu sana, kimeshavuka standard hiyo ya chuki za kifala, karibu ukrain huku tuzipige.
Hahaha!!! wanajisifia kwa kuiba..
Ukweli mchungu ni kwamba haitakaa itokee tena wachaga wawe na nguvu..
Magufuli amekufa lakin kucha kulalamika wanajua utawala wao
uliangushwa kimoja.
 
Mngekuwa na nguvu hyo lawama kwa Magufuli zingetoka wap.
 
Mngekuwa na nguvu hyo lawama kwa Magufuli zingetoka wap.
Sasa mtu katili kwa nini asilaumiwe bwana we!!! Yan aachwe tu akatili watu?!! Nguvu tunazo za kihalali siyo za dhulma na bado tutaimba uovu wake mpaka mwisho wa dahari.
 
Mungu ni mwema,katili,gaidi,mbinafsi,mtoa roho za watu,mbambikaji kesi,mkabila,mjinga kashaondoka taifa limeja furaha na amani tele.

Wasiojulikana hawana nafasi.

Ngongo kwasasa Kibandamaiti.
 
Hapa umeongea ukweli mtupu mkuu..kikubwa Watanzania wenzangu tupendane..na tuvumiliane kwa misingi ya tofauti zetu kikabila,kidini au kikanda...Nchi hii ni yetu sote ndugu zangu..tusibaguane na tusipande mbegu ya chuki kwenye jamii yetu.. Watu wote wanaotaka kutugawa kwa misingi ya kikabila, kikanda au kidini..tuwapinge kwa nguvu zetu zote..Mungu ibariki Tanzania..Kazi iendelee..Hongera mama Samia kwa kazi nzuri ya kudumisha umoja wa nchi yetu..
 
Walikuja kuona lakini kwa kuchelewa, ndo wakambanika walivofanya, walimzika mdogo kama kuku
 
Yeye tu ndiyo aliyaona hayo mahesabu kuna kudaiwa na ni negotiation hasa kama deni ni makosa yao kwenye ukadiliaji
 
Suala siyo kukabidhi power! Suala ni haki haki haki haki haki haki tu!! Weka haki pale uone hali!
 
Suala siyo kukabidhi power! Suala ni haki haki haki haki haki haki tu!! Weka haki pale uone hali!

Weka haki ???? Nani akuwekee hiyo haki ? Haki haipewi haki inachukuliwa, haki inalazimishwa hakuna atakayekupa haki , na ndo maana kubembeleza kwa Mbowe na kusifu hakutomfikisha popote, haki inachukuliwa inashinikizwa haiwekwi mezani uje uchukuwe, the world owes you nothing, man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…