- Thread starter
- #281
Hahahaah jibu zuri sana!
Mengi anachezea nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mengi anachezea nini?
Mengi na Ndesamburo wanachezea nini?Katili mbaguzi Anachezea kichapo cha funza sasa hiv
Mengi na ndesamburo uliona wanamfanyia nani ukatili? Walimuua nan, walimpiga nani risasi, walivunja nyumba ya nani?, Walitupa maiti ya nan ufukweni? Walidhulumu akaunti za benk za nani? Walimteka nani?!!Mengi na Ndesamburo wanachezea nini?
Hilo unalijua wewe! Asilimia kubwa ya Wachaga hamkumpenda Magufuli kwa usukuma wake!
Na wala hakuwa ccm bali alijificha ccm, ccm hata kama ina maovu yake ya wizi wa uchaguzi lakin haina tabia za makatiliMagufuli aliwanyima wachaga usingizi kwa usukuma wake au kwa kiburi cha madaraka? Kwanza isitoshe Magufuli hakuwa msukuma bali alijificha kwenye usukuma.
Mbona makonda na mnyeti kila siku mnasema wanakiburi?Hakuwa msukuma na alichukiwa kwa uovu wake. Msimfiche kwenye usukuma wakati hakuwa msukuma. Mimi sio mchaga na sikumkubali kwa matendo yake maovu na kiburi cha madaraka. Wasukuma hawana viburi.
Hahaha!!! wanajisifia kwa kuiba..
Ukweli mchungu ni kwamba haitakaa itokee tena wachaga wawe na nguvu..
Magufuli amekufa lakin kucha kulalamika wanajua utawala wao
uliangushwa kimoja.
Mngekuwa na nguvu hyo lawama kwa Magufuli zingetoka wap.Ahahaha! kalaghabaho. Wee endeleza chuki za katili maguful hapa wakat sasa hivi mchaga mwenzako yupo ukrain na russia ameshika mtutu sambamba na wenyeji, vita ikiisha anaibuka na vituo vya mafuta.
Wee badala utafute namna ya kuacha kuzunguka maporin na mifugo unamfuatilia mwisrael wa Tanzania. Mwisrael wa mashariki ya kat yupo katika ti ya waarabu anapiga mtutu kutwa kucha, karne na karne, ulishaona ameterereka?!!
One lov mzee, no hate. Tulishatokaga huko. Kiwango cha ustaarabu cha mchaga kipo juu sana, kimeshavuka standard hiyo ya chuki za kifala, karibu ukrain huku tuzipige.
Nenda kashtaki!Kanda ya ziwa ni Marekani, unadhani hatukuona uhayawani uliofanyika?
Sasa mtu katili kwa nini asilaumiwe bwana we!!! Yan aachwe tu akatili watu?!! Nguvu tunazo za kihalali siyo za dhulma na bado tutaimba uovu wake mpaka mwisho wa dahari.Mngekuwa na nguvu hyo lawama kwa Magufuli zingetoka wap.
Tulishashtaki kitambo mbona na majibu mnayo vizur tu.Nenda kashtaki!
Majibu yalibaki ufipa.Tulishashtaki kitambo mbona na majibu mnayo vizur tu.
Hapa umeongea ukweli mtupu mkuu..kikubwa Watanzania wenzangu tupendane..na tuvumiliane kwa misingi ya tofauti zetu kikabila,kidini au kikanda...Nchi hii ni yetu sote ndugu zangu..tusibaguane na tusipande mbegu ya chuki kwenye jamii yetu.. Watu wote wanaotaka kutugawa kwa misingi ya kikabila, kikanda au kidini..tuwapinge kwa nguvu zetu zote..Mungu ibariki Tanzania..Kazi iendelee..Hongera mama Samia kwa kazi nzuri ya kudumisha umoja wa nchi yetu..Kuna wachaga wengi sana ni makada wa CCM na waliokuwa mashabiki wakubwa wa Magufuli. Wako hata waliofariki kwa kukanyagwa kanyagwa wakati wa kuaga mwili wake uwanjani DSM.
Viongozi wa serikali mkoa wa Kilimanjaro wote ni CCM. Waulizwe kuhusu huo ubaya wa kabila lao unaolalamikiwa sana tangu Magufuli akiwa hai hadi sasa kiasi cha kuona uhalali wa serikali kuwatendea vibaya watu wa mkoa huo ili “kuwanyoosha”.
Ieleweke CHADEMA si wawakilishi wa Wachaga au watu wote wa Kilimanjaro. Si sawa kuelekeza chuki kwa chama hicho kwa wachaga wote. Ironically ndio ubaguzi wenyewe mnaodai kuupiga vita.
Walikuja kuona lakini kwa kuchelewa, ndo wakambanika walivofanya, walimzika mdogo kama kukuNi kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
Yeye tu ndiyo aliyaona hayo mahesabu kuna kudaiwa na ni negotiation hasa kama deni ni makosa yao kwenye ukadiliajiKweli walikuwa walikuwa wezi kwa kutolipa kodi na wengine walifungiwa mahesabu wakalipa.Sasa kosa lake ni lipi? Mfanyakazi analipishwa kodi kila mwezi kwa mshahara wa laki nne,yeye mfanyabiasha nani asilipe kodi tuwe tinajitambua na kufanya udadisi wakati wakuchangia hoja
Mbona makonda na mnyeti kila siku mnasema wanakiburi?
Nenda kashtaki!
Suala siyo kukabidhi power! Suala ni haki haki haki haki haki haki tu!! Weka haki pale uone hali!Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Suala siyo kukabidhi power! Suala ni haki haki haki haki haki haki tu!! Weka haki pale uone hali!