Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Wala usingesogeza makalio yako kwenye uzi huu kama ni kweli unachowaza.Hana Nyimbo!
Endelea kuota
Mwanzoni niulikuaga shabiki mkubwa sana wa CDM.Yaani hawa
Huyu mzee inabidi awe na breki kwenye kivywa chale yeye mbona wabunge wa Viti maalum aliteua wote kutoka huko kwao hata kama wako mikoatofauti! Mfano Pendo kutoka geita na yule mtangazaji wa zamani wa ITV kutoka morogoro!
Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Rrroobisssh!Wala usingesogeza makalio yako kwenye uzi huu kama ni kweli unachowaza.
Wewe wana ukabila achaMwanzoni niulikuaga shabiki mkubwa sana wa CDM.
Basi, 2015 nikkaenda Mikumi Morogoro ulikuwa wakati wa Uchaguzi.
Mgombea Ubunge kupitia CDM Mikumi alikuwa Prof Jay.
Aisee, Wanawake wa Morogoro walipambana sana.
Nakumbuka CDM hakuwahi kuwa na mbunge Morogoro kabla ila ilifanikiwa kupata wabunge 3 wa kuchaguliwa.
Cha kushangaza, viti maalum anayewakilisha Morogoro akateuliwa mchagga JOYCE MINJA aliyekuwa Ni Ripota wa ITV kutokea Morogoro.
Hapo ndio nikagundua hivi vitu vina wenyewe asee.
Wengine mtaishia KUTUMIKA tu.
Mwanzoni niulikuaga shabiki mkubwa sana wa CDM.
Basi, 2015 nikkaenda Mikumi Morogoro ulikuwa wakati wa Uchaguzi.
Mgombea Ubunge kupitia CDM Mikumi alikuwa Prof Jay.
Aisee, Wanawake wa Morogoro walipambana sana.
Nakumbuka CDM hakuwahi kuwa na mbunge Morogoro kabla ila ilifanikiwa kupata wabunge 3 wa kuchaguliwa.
Cha kushangaza, viti maalum anayewakilisha Morogoro akateuliwa mchagga JOYCE MINJA aliyekuwa Ni Ripota wa ITV kutokea Morogoro.
Hapo ndio nikagundua hivi vitu vina wenyewe asee.
Wengine mtaishia KUTUMIKA tu.
kuongea hivo anamkomesha Magufuli au anachochea chuki? Nyinyi wachaga ndo wakabila sana! Mpaka leo hata mama wa hapo arusha maeneo ya usariver alikuwa na shule ilipoonekana si Mwenyekiti wa hapo arusha vurugu ikaanza mpaka akaamua kuhamishia shule yake kwao MWANZA!Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.
Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.
Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.
Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Sawa, na Zanzibar mwakilishi viti maalum alikuwa Nani?..mbona Ccm Kilombero imemsimamisha Aseri mwenye asili ya Uchagani?
..joyce minja amezaliwa na kukulia morogoro sasa ulitaka agombee wapi?
Sawa Hata huyo Upendo Peneza Msuya wa geita naye kwa kuwa kazaliwa geita ila Mwenyekiti asili ya kaskazini, akateuliwa kuwa mbunge Viti maalum!Sawa, na Zanzibar mwakilishi viti maalum alikuwa Nani?
Kwa upeo wako.Jitafakari.Rrroobisssh!
Mariam Salum Msabaha mzaliwa wa kilimanjaro alikuwaje mbunge viti maalumu Zanzibar kupitia Chadema?Sawa Hata huyo Upendo Peneza Msuya wa geita naye kwa kuwa kazaliwa geita ila Mwenyekiti asili ya kaskazini, akateuliwa kuwa mbunge Viti maalum!
Nyumbu ktk ubora wakoArusha na Kilimanjaro kuwa ngome ya Chadema kuliwafanya wanyooshwe, yule jamaa alikuwa akipenda watu wanaomsujudia wakati wote na wale walioonesha upinzani kwake alikuwa tayari kuwanyoosha kwa njia yoyote.
Sabaya in particular na lile genge lake haramu, huyu aliachiwa uhuru wa kuwanyoosha wapinzani waliokuwa na misimamo, sidhani kama mikoa mingine nayo ilikuwa na "Sabaya" wao zaidi ya Kilimanjaro na Arusha.
Kutoa yaliyoko moyoni kunaponya. Acha auseme ukweli apone.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Sawa, na Zanzibar mwakilishi viti maalum alikuwa Nani?
Amesema kweli.. Ccm waombe radhiHii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Hawa CHADEMA huwa hawatakiukweli! Ila ubaguzi ndo kazi yao wanakera sana! Walikutana na anaejua kucheza nao!Mariam Salum Msabaha mzaliwa wa kilimanjaro alikuwaje mbunge viti maalumu Zanzibar kupitia Chadema?