Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Wewe wana ukabila acha

Chadema Zanzibar waliweka mbunge viti maalumu mchaga hebu fikiria Zanzibar ambako Chadema hata mjumbe wa nyumba Kumi hawana mbunge viti maalumu wakaweka mchaga

..Wachaga wapo mpaka Kenya.

..ipo siku mtasikia Mchaga kawa mbunge wa Kisumu, Kitale,...

Cc MK254
 
nyie kwavile mliekewa runway muanikie mpunga hamuwezi kuliona hilo
 
MoseKing,

..Mchaga askari wa Marekani.

..wao maisha na kazi ni popote pale.

Vipi wala sio hoja huyo! Hata Obama wajaruo walidanganyana ni mkenya mwisho wa siku hakuna alichovuna! Best kila kabila linawatu kibao wako nje ya nchi kadanganye mataahira huko!
 
Vipi wala sio hoja huyo! Hata Obama wajaruo walidanganyana ni mkenya mwisho wa siku hakuna alichovuna! Best kila kabila linawatu kibao wako nje ya nchi kadanganye mataahira huko!

..nendeni basi mkawazibie na ktk jeshi la mmarekani.🤣🤣
 
Basi itakuwa ni coincidence, popote pale alipo mchagga ataunganishwa na kupewa nafasi ndani ya CHADEMA.

Hiki Ni kitu cha kipekee sana ambacho huwezi kukikuta uchaggani.
 
Nini Hujuwi na nn unajuwa?
 
Kuna watu wanadhani wakiendelea kumtuhumu JPM itawafanya wakubalike tena kumbe sivyo. Inaonekana JPM hawezi kusahaulika kiraisi na ataendelea kuwatesa watu wengi sana.
Tatizo Mbowe na Chadema sera hawana Mbowe hajui siasa nini anadhani ni personal attacks!!
 
Magufuli alikuwa mbaguzi kweli. Ushahidi huu hapa

 
Basi itakuwa ni coincidence, popote pale alipo mchagga ataunganishwa na kupewa nafasi ndani ya CHADEMA.

Hiki Ni kitu cha kipekee sana ambacho huwezi kukikuta uchaggani.

..kuna mfano wa Shamsa Mwangunga na Asseri kwa upande wa CCM.

..halafu kuna mfano wa Devota Minja kwa upande wa Chadema.

..sasa kwanini unakerwa na Wachaga walioko Chadema, huwaoni hao walioko Ccm?

..kuna wakati Makamu wa mwenyekiti, Katibu Mkuu, na Naibu Katibu mkuu, wa Chadema walikuwa Wasukuma. Je, ina maana Chadema ilikuwa chama cha kikabila cha Wasukuma?

..Binafsi nadhani tuwe macho na hila na propaganda za Ccm.

..Chadema sio chama cha kwanza cha upinzani kutuhumiwa na Ccm kwamba kina ukabila au udini.

..Cuf ilipoonekana kwamba ni tishio kwa Ccm kilituhumiwa kuwa chama cha Waislamu.


..Udp ilipoanzishwa na John Cheyo alipoonekana ni tishio chama chake kikapakaziwa kuwa ni cha Wasukuma.

..Kwa hiyo tuwe macho na propaganda za Ccm kuchonganisha jamii moja dhidi ya nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…