christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
JPM hakuacha kitu alitekeleza sera zao almost zote kasoro ya majimbo tu.Tatizo Mbowe na Chadema sera hawana Mbowe hajui siasa nini anadhani ni personal attacks!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM hakuacha kitu alitekeleza sera zao almost zote kasoro ya majimbo tu.Tatizo Mbowe na Chadema sera hawana Mbowe hajui siasa nini anadhani ni personal attacks!!
Wacha uongo wako wewe nyie wabaguzi sana eti uchagani wapo waliopiga2 kitabu wa ha uongo wewe kaanhalie wale waislamu walifutwa kwenye historia mnamjua bi titi nendeni sehemu za makumbusho ujue hata wakina shaban robert
Nilijua tu wewe ni mtu wa sampuli gani kwa thinking capacity uliyonayo, na hii comment yako imenithibitishia hauna kitu kichwani ni kelele tu.Mjinga wewe wacha ufala
Genge haramu la nyoko wacha ujinga rejea nimequotes comment ya nan shobo zitakuj kukumaliza kama ni wa kiume utakuja liwaHuu wako naona niuite ujinga, umetoka kabisa nje ya mada wewe na mjinga mwenzio mmeamua kuchepuka kwenda mnapopataka, wacheni ukabila wenu wa kijinga.
Hii mada inahusu madhila waliyofanyiwa wananchi wa mikoa ya K'njaro na Arusha wakati wa mwendazake, na mikoa hiyo ina makabila mengi sio wachaga pekee.
Sabaya na genge lake haramu wakati anafanya uhuni wao alikuwa haulizi kabila la mtu ndio amfanyie uhuni, alikuwa anafanya kwa wote wa mikoa hiyo bila kujali makabila yao.
Leo tukiuliza wangapi walifanyiwa unyama na Sabaya mikoa ya Arusha na K njaro nina hakika hawatajitokeza wachaga peke yao, na kwa huu ujinga wenu naamini hata anayewajibu hapa nae mkamuhisi ni mchaga!.
Sasa wewe na mjinga mwenzio nawashangaa kwa chuki zenu binafsi mmeamua kuwashambulia wachaga pekee kama vile huu uzi unawahusu wao, kisa hiyo kauli imetolewa na mchaga.
Mkumbuke huyo ni mwenyekiti wa Chadema, na Chadema kama chama cha siasa ni public property inawakilisha watu tofauti bila kujali rangi, kabila, na mengine yote, na Mbowe kama kiongozi wa chama anahusika kuwasemea wanachama wake.
Kuishiwa Sera ndio huku, mkapa aliwahi kusema vijana wa siku hizi hawajadili Sera, badala yake wanajadili watu. Ni aibu Sana kwa kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani kuongea haya madudu.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Makengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
Kinembee kinakuwashaView attachment 2156920hiki ndio kirefu Cha Chadema, Ile CHA maana yake CHAGA, mwisho wakarekebisha wakaweka maendeleo
Wakishindwa kuelewa haya madini basiMasharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Utukane halafu nikuangalia kaa mbali sio malumbano upumbavu mnafanya usisemwe unakurupuka sana kijana kuvamia comment utakuja liwaNilijua tu wewe ni mtu wa sampuli gani kwa thinking capacity uliyonayo, na hii comment yako imenithibitishia hauna kitu kichwani ni kelele tu.
Kuzuia mikutano ya nje ya vyama vya siasa ilikuwa ni moja ya sera yao?JPM hakuacha kitu alitekeleza sera zao almost zote kasoro ya majimbo tu.
Hapo kosa ni la kwake au la JPM?Ni kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
SANA na kazi ya kuwatesa Alipewa JAMBAZI SABAYA ila Anavuna AlichopandaHii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Huku ndio kuchanganyikiwa, kwahiyo magufuli ndio aliemvunja mguu mbowe?..Na Magufuli chuki aliitoa wapi?
..Magufuli hakuwa kufungwa kwa dhuluma.
..Magufuli hakuharibiwa biashara na mali zake.
..Magufuli hakuwahi kuvunjwa mguu.
..Kwanini alikuwa na chuki na mbaguzi kiasi kile?
Sasa ndugu yangu Ile barabara ingepanuliwaje? You guys are so selfish, kwamba watanzania ni Bora tuwe na barabara ya sentimita mbili ili kuwanufaisha nyie?Ni ukweli wala hajakosea, mwendazake alitamka wazi kabisa.
Tena akaenda mbali zaidi na kuwavunjia nyumba zao kimare na mbezi huku akisema kule kisesa wasivunjiwe(wasukuma wenzake)
Yule jamaa alikuwa na roho kama koboko,
Anachomeka tu huko aliko
Sasa hapo kuna ubaya gani? Huyo msukuma alitoa wito kwa wasukuma wenzie, ni Kama angekuja mtwara ningemuombea Kura kwa wamachinga wenzanguKumbuka wakati jpm ananadi sera zake msukuma alipanda jukwaani na kuongea kisuma kwama "tumpe kura mtu wa kwetu msuma mwenzetu na akawatisha na wangine kuwa watashughulikiwa kwa vikao maalumu watakaosaliti mwana wa kwao
Umeandika vizuri Ila umeenda chaka, ishu ni magufuli anahusikaje na kukandamiza watu wa kaskazini? Naona unatumia nguvu kubwa kupiga njeHapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.
Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.
Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.
Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Huoni kwamba magufuli alipenda watanzania wote? Ni ukweli zusiopingika kwamba kaskazini imeendelea Sana, Yani mkoa wa Kilimanjaro vijijini uko mbali kuliko manispaa nyingi Sana za mikoa mingine. Yamkini aliteleza lakini tumeshuhudia uboreshaji wa miundombini kaskanizi licha ya kwamba alisema msubiri kwanza. Hakuwahi kufika Nyasa lakini alipeleka meli na wala hakuahidi, Yule Mzee mumuache tu apumzike, amefanya makubwa Sana.