Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Wacha uongo wako wewe nyie wabaguzi sana eti uchagani wapo waliopiga2 kitabu wa ha uongo wewe kaanhalie wale waislamu walifutwa kwenye historia mnamjua bi titi nendeni sehemu za makumbusho ujue hata wakina shaban robert

..waislamu wa uchagani wamepiga kitabu hawana tofauti na wagalatia.
 
Huu wako naona niuite ujinga, umetoka kabisa nje ya mada wewe na mjinga mwenzio mmeamua kuchepuka kwenda mnapopataka, wacheni ukabila wenu wa kijinga.

Hii mada inahusu madhila waliyofanyiwa wananchi wa mikoa ya K'njaro na Arusha wakati wa mwendazake, na mikoa hiyo ina makabila mengi sio wachaga pekee.

Sabaya na genge lake haramu wakati anafanya uhuni wao alikuwa haulizi kabila la mtu ndio amfanyie uhuni, alikuwa anafanya kwa wote wa mikoa hiyo bila kujali makabila yao.

Leo tukiuliza wangapi walifanyiwa unyama na Sabaya mikoa ya Arusha na K njaro nina hakika hawatajitokeza wachaga peke yao, na kwa huu ujinga wenu naamini hata anayewajibu hapa nae mkamuhisi ni mchaga!.

Sasa wewe na mjinga mwenzio nawashangaa kwa chuki zenu binafsi mmeamua kuwashambulia wachaga pekee kama vile huu uzi unawahusu wao, kisa hiyo kauli imetolewa na mchaga.

Mkumbuke huyo ni mwenyekiti wa Chadema, na Chadema kama chama cha siasa ni public property inawakilisha watu tofauti bila kujali rangi, kabila, na mengine yote, na Mbowe kama kiongozi wa chama anahusika kuwasemea wanachama wake.
Genge haramu la nyoko wacha ujinga rejea nimequotes comment ya nan shobo zitakuj kukumaliza kama ni wa kiume utakuja liwa

Assume wachaga wakishika nchi hata diamond atafungiwa kufanya mziki apaishwe john makini

Fatilia then ucomment sipendi battle za kitoto
 
Machadema na wachaga walifikiri wataendelea kutawala kila sekta kama ilivyokuwa zaman>!

Zama zimebadirika sasa yenyewe bado yanafikira za miaka ya 70 huko

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Kuishiwa Sera ndio huku, mkapa aliwahi kusema vijana wa siku hizi hawajadili Sera, badala yake wanajadili watu. Ni aibu Sana kwa kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani kuongea haya madudu.
 
Peter zakaria alipigwa risasi?ficha ujinga wako kma hujui kitu uliza uambiwe peter zakaria alimpiga risasi tiss alietumwa kummaliza na jamaa kaparalize toka kiunoni anatembea na wheelchair
Makengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
 
Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Wakishindwa kuelewa haya madini basi
 
Nilijua tu wewe ni mtu wa sampuli gani kwa thinking capacity uliyonayo, na hii comment yako imenithibitishia hauna kitu kichwani ni kelele tu.
Utukane halafu nikuangalia kaa mbali sio malumbano upumbavu mnafanya usisemwe unakurupuka sana kijana kuvamia comment utakuja liwa
 
JPM hakuacha kitu alitekeleza sera zao almost zote kasoro ya majimbo tu.
Kuzuia mikutano ya nje ya vyama vya siasa ilikuwa ni moja ya sera yao?

Kusitisha mchakato wa katiba mpya ilikuwa ni moja ya sera yao?

Kuitupa kapuni sekta ya gesi kusini ilikuwa ni moja ya sera zao?
 
Ni kweli nadhani The state hawakuona roho ya jpm!!jpm alikuwa keshaharibika kisaikolojia Sasa sijui kwanini hawakuona aiseh!!makovu yale hayatasahaulika!!hapa kuna mzee kapanga KWANGU like sakata la vyeti feki halikumwacha sawa sawa!!Sasa hivi ana dege dege nimemkuta asubuhi HII kaangukia KWENYE Banda la kuku aiseh!!!!anakata roho pole pole!!
Hapo kosa ni la kwake au la JPM?
JPM ndio alimfojia cheti?
Hivi watz mnatumiaga nini kureason?
Ndio hawa wanaotuletea ripoti kwamba mavi ya ng'ombe na mikojo ya n'gombe ndio vimechafua MTO mara na kusababisha samaki kufa,
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
SANA na kazi ya kuwatesa Alipewa JAMBAZI SABAYA ila Anavuna Alichopanda
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!

Tuliteseka sana na kiongozi wa mateso alikuwa General Sabaya akisaidiwa na ACP Kingai,Mahita na Jumanne.

TRA ilipora fedha za Wafanyabiashara na BOT wakapora fedha za Bureu de change.

CCM ilitengeneza vikundi vya kihalifu vikiongozwa na Mjusi na Marehemu Mkuluu.
 
..Na Magufuli chuki aliitoa wapi?

..Magufuli hakuwa kufungwa kwa dhuluma.

..Magufuli hakuharibiwa biashara na mali zake.

..Magufuli hakuwahi kuvunjwa mguu.

..Kwanini alikuwa na chuki na mbaguzi kiasi kile?
Huku ndio kuchanganyikiwa, kwahiyo magufuli ndio aliemvunja mguu mbowe?
 
Ni ukweli wala hajakosea, mwendazake alitamka wazi kabisa.
Tena akaenda mbali zaidi na kuwavunjia nyumba zao kimare na mbezi huku akisema kule kisesa wasivunjiwe(wasukuma wenzake)

Yule jamaa alikuwa na roho kama koboko,
Anachomeka tu huko aliko
Sasa ndugu yangu Ile barabara ingepanuliwaje? You guys are so selfish, kwamba watanzania ni Bora tuwe na barabara ya sentimita mbili ili kuwanufaisha nyie?
 
Kumbuka wakati jpm ananadi sera zake msukuma alipanda jukwaani na kuongea kisuma kwama "tumpe kura mtu wa kwetu msuma mwenzetu na akawatisha na wangine kuwa watashughulikiwa kwa vikao maalumu watakaosaliti mwana wa kwao
Sasa hapo kuna ubaya gani? Huyo msukuma alitoa wito kwa wasukuma wenzie, ni Kama angekuja mtwara ningemuombea Kura kwa wamachinga wenzangu
 
Hapa SIKUBALIANI na wewe sambulugu. Magufuli alitaka kuharibu umoja wa Taifa letu kwa kuwagawa watu kiitikadi na kikabila. Alidiriki kusema kwenye mikutano kuwa hawezi kupeleka maendeleo kwenye majimbo yenye wabunge WAPINZANI.

Magufuli alikandamiza demokrasia, aliminya uhuru wa maoni na vyombo huru vya habari. Magufuli aliitisha Mahakama na kuliongoza Bunge kwa remote control. Magufuli alikuwa anateka, anaua, ananya g'anya fedha za wafanyabiashara.

Ameiba uchaguzi wa S/Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi wa 2020 na kuweka wabunge anaowataka yeye ili wangekuwa kubadilisha Katiba kumruhusu kutawala Milele baada ya 2025, ila tushukuru sana Mungu kafanya yake mwaka Jana March 17.

Kwa maana hiyo LAZIMA tupaze sauti zifike mbali dhidi ya uhayawani na ufedhuli wote wa Magufuli mpaka Dunia ielewe kuwa tulikuwa tunatawaliwa na shetani.
Umeandika vizuri Ila umeenda chaka, ishu ni magufuli anahusikaje na kukandamiza watu wa kaskazini? Naona unatumia nguvu kubwa kupiga nje
 
Magufuli alikuwa mbaguzi kweli. Ushahidi huu hapa

View attachment 2157212
Huoni kwamba magufuli alipenda watanzania wote? Ni ukweli zusiopingika kwamba kaskazini imeendelea Sana, Yani mkoa wa Kilimanjaro vijijini uko mbali kuliko manispaa nyingi Sana za mikoa mingine. Yamkini aliteleza lakini tumeshuhudia uboreshaji wa miundombini kaskanizi licha ya kwamba alisema msubiri kwanza. Hakuwahi kufika Nyasa lakini alipeleka meli na wala hakuahidi, Yule Mzee mumuache tu apumzike, amefanya makubwa Sana.
 
Back
Top Bottom