Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

View attachment 2250605

Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu.

Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake.

Je, nini kimembadilisha?

Ni muda ndio utasema.

Nyumbu tunawaambia siku zote, hakuna kiongozi wa CDM anayepigania maslahi ya taifa. Wanasiasa wote hupigania maslahi yao wenyewe na familia zao, kwa kuwatumia nyumbu na wengine wanaofanana na hao! Angalia sasa Mbowe walivyobadili gia angani wakati hata dalili tu za Katiba mpya hazipo.
 
Naungana na Mbowe vijana wa chadema wengi wao hawana ustarabu kabisa wao ukiwana hoja tofauti watakushushia kejeli au matusi .
 
Mbowe sasa amekomaa. Anataka kufanya siasa na si uwanaharakati. Ukisoma mitandaoni vijana wa CHADEMA wengi ni wanafanya harakati badala ya siasa.

Si wavumilivu, wana mshambulia kila wanaye dhani yuko kinyume na mtazamo wao. Wanasusia fursa ambazo kama wangezitumia zingesaidia kutuvusha.

Hivi karibu nimejufunza kwamba, wanaharakati hawaitakii mema hii nchi. Hawapendi kuona siasa za kistaraabu. Wao wanapenda kuona kukiwa na mizozo na mitafuruku kila kukicha..nadhani ndo wanafaidika kwa namna moja ama nyingine. Wanaogopa kwamba mambo yakiwa vyema watakosa relevancy na hivyo matumbo yao kiwa hatarini.

Mbowe amepitia mengi, amejifunza mengi na amekomaa.
Hao wanaharakati kuna sehemu wanavuta hela ili kuendelea na hizo harakati. Yani wamanufaika na mitifuano.

Sasa bahati mbaya baadhi ya vyama vya upinzani vimeingia ktl mtego wa harakati badala ya siasa inayozingatia demokrasi safi kwa maslahi ya taifa
 
Nchi hii mtu mmoja tu ndio alikuwa na uchungu na watuwake na aliekataa kujinufaisha mwenyewe kwa mgongo wa watuwake.
Muda nimwalimu mzuri, tuendelee kusubiri humuhumu JF wengi watakuwa upande wa ukweli.
 
Mbowe ameamua kutokuwa karai kila siku kubebeshwa zigo la katiba huku wengine wakitoa matamko kupitia vyombo vya habari na media kwa ujumla kaamua kukaa kimya maisha yaendelee.
Sasa shida iko wapi?

Kama yeye kaamua "kukaa kimya" kwa sababu zake binafsi, kwa nini awazuie wanaotaka kusema wasiseme waonavyo inafaa kusema!
 
Ivi join the chain iko wapi [emoji23][emoji23]ndomana nimeamua kuwa mwanaharakati huru nipambane mwenyewe kutafuta Katiba mpya
Hutafika popote mkuu.

Tafuta wenye mawazo kama yako mpaaze sauti kwa pamoja. Mkianza kuonekana wananchi watawaunga mkono kwa juhudi zenu.
 
HUWEZI SHINDANA NA SEREKALI UKAISHINDA MBOWE KWANZA NIMPONGEZE SANA FOR HIS PASSION HE KNOW WHAT HE DID, MAMA NI MSTAARABU KWELI, NADHANI KULIKO MA RAIS WENGI TU WALIOPITA, NCHI IMETOKA KWENYE DEMAGE KUBWA SO TUNING THE STARRING TO RIGHT PATH NEED A TIME, TUSIMKWAZE KWA SASA #TUWAPUUZE HAO AKINA TAKATAKA #MDUDE
Yapo mambo mengine mtu anayafanya infact ni kutafuta shari tu,huku akijihisi ataonekana jasiri which nonsense, chadema jifunzeni kukitii kiti (mwenyekiti) likitu lolote lisilo na nidhamu au adabu mara nyingi huwa linaondoa umaana mzima na heshima ya chama husika.
 
Kuna chama kinachotawala aka chama tawala au chama dola....

Kuna Serikali aka dola..

Chama ni chama na dola ni dola..

kuna siasa za kudeal na chama dola au chama shindani hii tunaita siasa..

Kuna siasa za kudeal na dola, hii ni hatari maana unakuwa muasi na dola inakuchukilia kama mhaini..

Vijana wengi hawajui mipaka ya siasa..
 
Possibility ni kubwa mno by 2025 Tanzania bara kwa mara ya kwanza chini ya jemedari na mwenyekiti mbowe tukapata serikali ya mseto.
>"keep my words"
 
Dah! Ndo basi tena....Sijui tumebaki na nani!
 
Sasa kama anavuta mshahara kama walioko bungeni, TAL yeye kavuta hadi pensheni bado unataka waongee?
Wakati wote mwenye shibe na kitu mfukoni huwa mstaarabu katika ongea yake ten humwaga hekima na busara tu akiwa na tabasamu na usiriazi wa kijasiri.

Rejea hotuba ya Mbowe siku anamkaribisha Lowasa. Body language yake ilikuwa ya mtu mwenye kitu mfukoni na aliongea vyema sana.
 
Bavicha hamna wanachojua zaidi ya mitusi
Bwashe mbona hizi response zenu ni kama ya mtu mmoja isipokuwa IDs tofauti? Au mmekalishwa mahali mnaelekezwa cha kupost? Chawa wa Mwendazeke mnahangaika sana against SSH na Mbowe.
Legacy ndiyo hivyo tena, nayo imeshaingia kwenye futi sita.. mtajibeba mwaka Huu, nendeni mkamtoe Jambazi Sabaya gerezani achaneni na JF
 
Back
Top Bottom