Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Domo mali yako....

Tukana ,tuhumu ,chafua wengine.... uwekezaji wa DP WORLD kama kawa....

Tunahitaji kupata nusu ya bajeti ya nchi ya kila "fiscal year" itoke bandarini !!!

Mafisadi wanaoitafuna bandari hawataki.....shame on them[emoji109]

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo tecno inajuta, kuna siku itakugomea kutype huo utopolo.
 
Ulivyo mjinga unajua hata maana ya IGA? Uaongeleje ukomo kwenye IGA? Hivi unajua hata maana ya IGA?

Watafute wanaokulisha hayo matango pori waulize nini tofauti ya IGA na HGA alafu njoo hapa
 
Mashindano ya Sweden yaliisha salama?
 
Mie nimekiona kina mwaka mmoja tu.
 
Samia alikosea sana kufungua mlango wa demokrasia kwa CHADEMA. sasa analipa. Mbowe alipokuwa amebanwa na kesi za magu alikuwa na adabu sana.
 
Yupo sahihi ila kwenye lugha nadhani alipaswa aseme; "We surrender our sovereignty--" badala ya; "We are surrendering our sovereignty ---", refer stative verbs. [emoji1787][emoji1787]
Unategemea nini kutoka kwa "form 6 failure" aliyekimbilia UDJ?!!![emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…