Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanini ufikiri hivyo na si Lissu ndiye anatafuta uenyekiti ili apate mkate wake wa kila siku.
Ushahidi halisi ndio unanitanya niamini hivi, tangu 2004 mpaka leo yupo madarakani na uhasibu unaofanyika mara kwa mara unaonyesha matatizo katika matumizi mazima ya pesa za chama.
 
Lissu kukosa mtu wa kufanya naye kazi kama makamu mwenyekiti ni mistake.

Aliulizwa vipi Wenje akishinda umakamu na yeye Lissu akashinda uenyekiti, akasema itakuwa disaster. Alitumia neno hili disaster.

Unaposema kupigania haki bila kufuata utaratibu unamaanisha nini? Lissu si anagombea uenyekiti wa CHADEMA kwa kutumia katiba ya CHADEMA, kuna utaratibu gani zaidi ya katiba?
Ukiona kelele nyingi ujue ni udhaifu kwa wanaopiga kelele.
Utaratibu uko hivi:
Kila miaka mitano Chadema wanaitisha na kufanya uchaguzi wa viongozi wao.
Wajumbe ni wanachama na sio mashabiki kwa utaratibu wa chama.
Mwenyekiti anachaguliwa kwa kura za wajumbe 1200.
Wajumbe wapiga kura kwa ujumla wao wanakusanyika kwenye ukumbi mmoja kuwapigia kura kwa wale wanaowataka.
Anaepata kura nyingi ndio mshindi,na mshindi ndie anachukuwa nafasi ya uwenyekiti.
Kwa taratibu za chama Mbowe hagombei peke yake kuna miaka fulani alimgalagaza Profesa Safari kwenye sanduku la kura na amekuwa akiwashinda kwa kishindo kwenye chaguzi zote.
Aliyeua siasa za vyama vingi ni Mjomba Magu na si Mbowe.
Kwa hali halisi ya siasa za Tanzania ,Bila Mbowe Chadema itageuka TLP come 2025.general election.
Lakini mtoto akililia wembe mpe.
 
Na wewe pia unapiga kelele nyingi hapa?

Au kelele ni wenzako wakisema tu, ukisema wewe si kelele?

Kama hutaki kelele subiri uchaguzi.
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Haya ndiyo yanayotokea kwenye uchaguzi mkuu CCM wapo busy kujiimarisha upinzani upo kwenye blah blah za kina mariah sarungi!
 
Wacha anayepita apite awe kiongozi. Kikifa ndio vizuri ili kizaliwe kizuri. Kama zama za chadema zimefikia mwisho hata ufanyeje kitakufa tu. Hata chama tawala kilishakufa sema kimekosa mbadala wa kukiondoa.
Hicho chama kizuri kwanini hakianzi sasa, au hadi vingine vife ndio kiweze kuanza?
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
kila mtu kila mjumbe tayr ana upande wake tayari Haina haja ata ya kampeni! wote mashoka ila ngoja tujaribu na hili tuone kama tutangoa hili shina la kijani!?
 
Kigeugeu hana uhakika na nafasi ipi anataka, mwezi uliopita alikuwa mtia nia wa Mmkiti, mwezi huu anataka uwenyekiti hapohapo anataka kugombea urais, dah hii ni tamaa ya mzee fisi atakosa vyote.
Na tatizo lenu ni cheo cha mwenyekiti kuguswa wakati mna maslahi nacho binafsi. Mbowe huko nyuma aliwahi kutamka kuwa 2024 ni mwisho hatagombea tena. Je anachokifanya sasa ni kigeugeu ama, au kunya anye kuku akinya bata .... Lowassa aliitwa fisadi na cdm tena muda mrefu, Mbowe akasema gia imebadilishwa angani, kile ni kigeugeu ama ni nini? Huenda mnadhani kwakuwa yale yalitamkwa zamani, basi tutakuwa tumesahau.
 
Hicho chama kizuri kwanini hakianzi sasa, au hadi vingine vife ndio kiweze kuanza?
Si ndio hoja za wanaharakati hizo kuwa flani asipokuwa Mwenyekiti chama kinakufa. Wanaharakati wa Tanzania ni wapuuzi sana wanataka kumtumia TAL vibaya kwa maslahi yao binafsi.
 
Ukihitajika kutoa ushahidi unao?au stori za kusimuliwa kijiweni na wewe unaziandika andika humu bila kua na uhakika.

Utaingizwa mkenge na wanaharakati wakuache badae usimame peke yako ujute
ushahidi wa Mazingira unathibitisha hoja yangu hii.
 
Na tatizo lenu ni cheo cha mwenyekiti kuguswa wakati mna maslahi nacho binafsi. Mbowe huko nyuma aliwahi kutamka kuwa 2024 ni mwisho hatagombea tena. Je anachokifanya sasa ni kigeugeu ama, au kunya anye kuku akinya bata .... Lowassa aliitwa fisadi na cdm tena muda mrefu, Mbowe akasema gia imebadilishwa angani, kile ni kigeugeu ama ni nini? Huenda mnadhani kwakuwa yale yalitamkwa zamani, basi tutakuwa tumesahau.
Mbowe aliingia uwanjani baada ya kuona Lissu kuanza kukishafua chama.
 
Back
Top Bottom