Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kasome comment yako ya mwanzo

Comment yangu ya mwanzo wapi?

Iweke hapa tujue kweli ni mimi nimekosea au wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu.

Hapa JF kuna watu wengi sana hawajui kusoma kwa ufahamu, sioni sababu kwa nini wewe usiweze kuwa mmoja wao.

Weka post hapa tuipitie neno kwa neno.
 
🙌
 
Back
Top Bottom