Pambana na Chagadomo yako achana na Chama Kubwa CCM. Kila siku kulalamika tu halafu mnategemea Watz wawape nchi muongoze nyinyi nyumbu!! Hiyo itakuwa nchi ama danguro kama uchanguzi tu wa ndani ya Saccos yenu mnatukanana hivyo!!Kujiandaa kuwa mwenyekiti wa cdm kunahitaji course gani? Huu uhuni wa ccm mnaubeba kila mahali hadi mnajisahau! Ni sifa zipi za maana ambazo Lisu anakosa hadi useme hakujiandaa, au anatakiwa awe na pesa za kuhonga wajumbe? Huu uhuni ndio juzi ccm walikuwa wanapita wakisema cdm haikujiandaa kushiriki uchaguzi wa serekali za mitaa, ila tulichokiona kwenye uchaguzi ule ni uhuni wa kitoto. Naona na ww umenasa kwenye upuuzi uleule.