Wafanye kampeni kama utaratibu unavyotaka ila kwa mjumbe anaejielewa kampeni haitambadilisha uelekeo wake na ndio msingi wa hoja yangu. Labda wahusika waboronge sana au waje na miujiza tofauti na walivyojionyesha tangu mwanzo, na uwezekano huu ni mdogo. Lissu atakuwa Lissu na Mbowe atakuwa Mbowe.Kwahiyo hakuna haja ya wagombea kufanya kampeni, hii mbona mpya.