- Thread starter
- #81
Mwaka 2019 Cecil Mwambe aligombea uenyekiti hakuwa mwanachama au hadi agombee kiongozi.Hii siku zote ilikuwa hoja.
Ila, ilikuwa hoja ambayo ilikuwa haijapata endorsement ya mwanachama wa CHADEMA kugombea Uenyekiti,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2019 Cecil Mwambe aligombea uenyekiti hakuwa mwanachama au hadi agombee kiongozi.Hii siku zote ilikuwa hoja.
Ila, ilikuwa hoja ambayo ilikuwa haijapata endorsement ya mwanachama wa CHADEMA kugombea Uenyekiti,
Point yako nini hapa?Mwaka 2019 Cecil Mwambe aligombea uenyekiti hakuwa mwanachama au hadi agombee kiongozi.
Mkt wa kudumu ana sera ipi mpya ya kuuza Kwa wapiga kura?The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Nadhani kelele za Lissu zina faida kuliko kimya cha mwambaThe difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Lissu anafanya kampeni inayosaidia Watanzania kuelewa matatizo mengi yaliyo katika siasa za Tanzania.Nadhani kelele za Lissu zina faida kuliko kimya cha mwamba
Lisu akiwa ndio mwemyekiti wa hiko chama tutegemee maamuzi ya kiutendaji ya chama kutoka kwenye hili kundi la wanaharakati linaloitwa Sauti ya Watanzania kwa kushirikiana na Change Tanzania.
Turejee kwenye sakata la bandari walivyotaka kukitumia chama kupush agenda zao.
Naona wamekwama kwa Mbowe sasa wanatafuta mtu wao atakayekubali kubeba agenda zao.
Kama wanaona chama kitakufa kwa sababu ya Lisu kushindwa uchaguzi basi waende ACT tuone kama watafanikiwa.
Lisu anashinda kwenye media tu na kuropoka na kulalamikaThe difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Swaga za kiccm hizi, halafu ikifika siku ya kura tunaona kura fake, vitisho, rushwa nk.The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Safari hii Mbowe atajua watu wamemchoka, hata akishinda kwenye hizo kura kwa kuhonga, bado hatakuwa na uwezo wa kupandisha hamasa ya wafuasinwa cdm. Ukweli ni kuwa wakati ukuta.Aelezwe Maria Sarungi sio mpiga kura.
Kama ni hivyo kwa nini wanaharakati wanalia mitandaoni kuwa Mbowe aachie kwa busara na si kwa box la kura?Baada ya Makamu Mwenyekiti kuchukua fomu kugombea Uenyekiti tu, hoja ya kumuondoa Mbowe kwenye Uenyekiti imekuwa ni hoja ya Makamu Mwenyekiti na kundi kubwa la wanachama wa CHADEMA, si ya wanaharakati tu. Kitu anachosema Tundu Lissu wazi hutakiwi kukidogosha kusema ni cha wanaharakati tu.
Kwa hiyo hoja ni kumuondoa na si kushindana kidemokrasia! Kama wamejitokeza wanaohitaji hiyo nafasi mimi naona ni jambo la heri kwa chama chao ili tuone demokrasia kweli ipo au limebaki jina tu.Tumeona kuna wanachama watatu wanataka kumuondoa Mbowe. Wapo. Mpaka watatu wamechukua fomu.
Hiki chama chao wakikubali kuendeshwa na wanaharakati ndio utakuwa mwisho wa anguko lao.Wanaharakati huwa wanajiona wao wako sahihi muda wote, kwao demoktasia ni Mbowe aondoke hawana option nyingine.
Na huwa unasali mbele ya Muumba wako!!!mbowe ataongea Nini?kwani ni uongo kwamba yeye binafsi anahusika na njama za hao watu wa Chadema ambao wamekuwa wakitekwa, kushambuliwa au kuuawa kutoka kwenye chama hicho?yeye ni mchora ramani Mkuu wa matukio hayo, amekuwa akiwauza wenzake kwa mumiani.
Yaani Mbowe sasa kawa rafiki wa maccm. Hata maneno ya maccm ya kusema vyama vya upizani vinashindwa kwasababu havikujipanga. Naye anasema Lissu hakujipanga huku akiwa anagawa hela kwa wajumbe. Ccm wanamtumia mbowe kuuwa chadema wakifikiri chadema ndio adui yao . Ila ccm wasicho juwa chadema imewasaidia kuendelea kuwa madarakani kama chadema asinge kuwepo ccm ingekuwa imeisha ondolewa . Hivi sasa ngoja chadema ichukuliwa na Mbowe imfia mikononi mwake. Halafu uone moto wake . Kama hakuna upizani unao aminika basi atatokea mtu anaye aminika na ataongoza wote walikata tamaa na utawala mbovu wa ccm na wataiangusha serikali.The difference is clear.
Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.
As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.
Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Ukihitajika kutoa ushahidi unao?au stori za kusimuliwa kijiweni na wewe unaziandika andika humu bila kua na uhakika.mbowe ataongea Nini?kwani ni uongo kwamba yeye binafsi anahusika na njama za hao watu wa Chadema ambao wamekuwa wakitekwa, kushambuliwa au kuuawa kutoka kwenye chama hicho?yeye ni mchora ramani Mkuu wa matukio hayo, amekuwa akiwauza wenzake kwa mumiani.