Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukihitajika kutoa ushahidi unao?au stori za kusimuliwa kijiweni na wewe unaziandika andika humu bila kua na uhakika.

Utaingizwa mkenge na wanaharakati wakuache badae usimame peke yako ujute
Be my guest dear
 
Uchaguzi utakuwa wazi ili akishindwa asitafute kisingizio.
Hakuna mwenye tatizo na yeye kushi dwa kihalali, ila mabadiliko ya katiba na kiutawala ndani ya cdm hayakwepeki.
 
Kigeugeu hana uhakika na nafasi ipi anataka, mwezi uliopita alikuwa mtia nia wa Mmkiti, mwezi huu anataka uwenyekiti hapohapo anataka kugombea urais, dah hii ni tamaa ya mzee fisi atakosa vyote.
Amevunja sheria gani, ama amewaumiza kutaka nafasi ya boss wenu wakati malengo yenu binafsi hayajatimia, na sasa mnahofia mtakwama iwapo ataukosa uenyekiti? Demokrasia inamruhusu kugombea nafasi yoyote hata kama ww hupendi.
 
Wacha anayepita apite awe kiongozi. Kikifa ndio vizuri ili kizaliwe kizuri. Kama zama za chadema zimefikia mwisho hata ufanyeje kitakufa tu. Hata chama tawala kilishakufa sema kimekosa mbadala wa kukiondoa.
Kwani wapi nimepinga anayepita apite?
 
Amevunja sheria gani, ama amewaumiza kutaka nafasi ya boss wenu wakati malengo yenu binafsi hayajatimia, na sasa mnahofia mtakwama iwapo ataukosa uenyekiti? Demokrasia inamruhusu kugombea nafasi yoyote hata kama ww hupendi.
Kunguni wa Sultan wanahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa vile.
 
Hakuna mwenye tatizo na yeye kushi dwa kihalali, ila mabadiliko ya katiba na kiutawala ndani ya cdm hayakwepeki.
Mabadiliko sawa lkn tusilazimishe fulani lazima awe Mkiti.
 
Lissu alipotangaza nia akafunga na kampeni hapohapo.
Hana hana ya kutafuta kura; kutangaza nia tu kumetosha.
Huyo mwingine ndiyo ahangaike kuwaambia wajumbe kwa nini anastahili kuendelea. 😁
 
Hakuna chama kitashindwa kutawala nchi hii ambayo ccm wameweza. Yaani ccm imefanikisha mambo ya kawaida sana ambayo hakuna chama kitashindwa kuyafikia.
Yaani nchi iendeshwe na wahuni wakina Lissu?
 
Amevunja sheria gani, ama amewaumiza kutaka nafasi ya boss wenu wakati malengo yenu binafsi hayajatimia, na sasa mnahofia mtakwama iwapo ataukosa uenyekiti? Demokrasia inamruhusu kugombea nafasi yoyote hata kama ww hupendi.
Sawa hata Mbowe hajavunja katiba ya chama kuendelea kugombea.
 
Alafu 2025 mnataka mshindane na Samia,

CCM ata wamuweke Qaillah mtoto wa sheta anawashinda Chadema asubuhi tu.
 
Back
Top Bottom