Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Mataifa mengine yaanatuona sisi ni wa hovyo kupitia hawa mbwa.
Kumbe wengine tuko good upstairs
Dah.
Kumbe wengine tuko good upstairs
Dah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===
Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa akilalamikia matatizo ya jimboni kwake aliomba kuruka sarakasi ili kuonesha kuwa ametumwa na wananchi wake kuwasemea.
Kabla ya kuruka sarakasi, Mbunge huyo wa Mbulu alifanya marejeo kwenye kishkwambi chake ya sauti zilizorekodiwa za waziri wa ujenzi na naibu wake wakitoa ahadi kwenye vikao vya Bunge vilivyopita za kukamilisha ujenzi wa barabara Mbulu jambo ambalo halijatimizwa hadi sasa.
Pia soma:Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay almanusura kupiga sarakasi Bungeni ili ajengewe barabara jimboni
Yaan watu wana drama mnoo, khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm nimewaza hivyo hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ana faili MirembeKwani huyu hawezi kuleta hoja yake bungeni mpaka abinuke sarakasi.
Tutafsiri kuwa ni ushujaa ama upumbavu..!
kwa bunge hili hakuna cha ajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je suruali ingechanika? Au kuanguka?
Teh teh teh teh..😂😂...huyu kazingua Sana tuUtaambiwa ni privacy yake
je wakiwa kama 50 wote wapige sarakasi bungeni?Watu wengine bhana cjui mkoje, Ety mnasema hajielewi. Sasa mlitaka afanye jambo gani ili serikali imuelewe.? Mbona chadema walikuwa wanatoka nje huku kikao cha bunge kinaendelea, je tuseme nao hawana nidhamu mbele ya bunge.?
Bora angejisadia bungeniWatu wengine bhana cjui mkoje, Ety mnasema hajielewi. Sasa mlitaka afanye jambo gani ili serikali imuelewe.? Mbona chadema walikuwa wanatoka nje huku kikao cha bunge kinaendelea, je tuseme nao hawana nidhamu mbele ya bunge.?