Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiwa amebinuka sarakasi ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma leo.

Flatei alichukuwa uamuzi huo ikiwa ni njia ya kuonyesha hisia zake kwa kero ya kutokuwa na barabara ya lami katika jimbo lake.

Taarifa: mwananchi_official
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je suruali ingechanika? Au kuanguka?
Na hapo MIC zipo on ikitokea kimemponyoka si fedhea hii [emoji28]
 
Haki CHADEMA walivyojaza mijobless na mijitu mivivu siku wakishika nchi hii sipati picha.
"Mijobless" sio means kwako mtu asiye na kazi sio kitu kwako, kauli mbovu sana hii.

Pia hii thread ni ya mruka samasoti ambaye ni mwenzetu sasa hawa watani wetu wa jadi wamekujaje hapa?
 
Kusema kweli tangu niijue hii bunge movie kipindi cha plus msekwa bara bara ya Highdom imekuwa kibwagizo. Binafsi huu ndio mchango bora kabisa tangu filikunjombe alipo shusha maiki yake kwa mara ya mwisho kwenye mjengo mtukufu. Binafsi si mnazi wa mapambio
 
Yuko sahihi..

Jamaa ameanza kulalamika hbr ya hiyo barabara muda mwingi sn.Tangu dunia iumbwe hiyo barabara ni muhimu na haijawahi kujengwa

Hadi mwaka Jana nakumbuka gari lake liliwahi kuzama kwenye matope na wananchi ndy walilisukuma.wacha Tu apige sarakasi,ujumbe umefika
 
bangi tunavuta tuko wengi tu..mshikaji wangu yuko tra ni afisa mkubwa tu anakula bangi kila baada ya masaa manane kwa siku...mshikaji wangu mwingine ni afisa muuguzi pale hospital ya wilaya kondoa anakula bangi kabla hajaingia job.....namalizia wakurungwa nina mshikaji wangu mwingine anaitwa dr christopher yupo pale hospital ya milambo tabora anakula bangi mpaka meno ya mbele yamebadirika rangi....wakuu vuteni bangi inaongeza confidence...
 
na hizo sarakasi zote lakini utashangaa bajeti inapita kwa kishindo maana ndio usanii wao huo kila mwaka wa fedha. Mimi katika moja ya vitu ninavyotamani katika kupata katiba mpya ni wananchi kupewa nguvu ya kikatiba kuwawajibisha wawakilishi wao pale wanapoona ameshindwa kutimiza ahadi/malengo waliyojiwekea kuondoa huu usanii wa wawakilishi kuwakilisha vyama na sio wananchi kama ilivyokua kwenye rasimu ya warioba
 
Yuko sahihi..

Jamaa ameanza kulalamika hbr ya hiyo barabara muda mwingi sn.Tangu dunia iumbwe hiyo barabara ni muhimu na haijawahi kujengwa

Hadi mwaka Jana nakumbuka gari lake liliwahi kuzama kwenye matope na wananchi ndy walilisukuma.wacha Tu apige sarakasi,ujumbe umefika
Ni kawaida sana kwa 'Nuts' Kuteteana!!!
 
Ndo ccm walikuwa wanayataka haya,ndo maana walitaka wabaki wenyewe.
 
Ni kawaida sana kwa 'Nuts' Kuteteana.
Nikikupopoa usiende kukimbilia Kwa mods..maana ndy umeanza kuhama kwenye context na kuongea usenge.Ulikuwa na haja gani ya kunitukana wakati nimecomment kistaarabu tu
 
bangi tunavuta tuko wengi tu..mshikaji wangu yuko tra ni afisa mkubwa tu anakula bangi kila baada ya masaa manane kwa siku...mshikaji wangu mwingine ni afisa muuguzi pale hospital ya wilaya kondoa anakula bangi kabla hajaingia job.....namalizia wakurungwa nina mshikaji wangu mwingine anaitwa dr christopher yupo pale hospital ya milambo tabora anakula bangi mpaka meno ya mbele yamebadirika rangi....wakuu vuteni bangi inaongeza confidence...
Mbona nawe hujasema kuwa Unaivuta?
 
Back
Top Bottom