Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo MIC zipo on ikitokea kimemponyoka si fedhea hii [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je suruali ingechanika? Au kuanguka?
"Mijobless" sio means kwako mtu asiye na kazi sio kitu kwako, kauli mbovu sana hii.Haki CHADEMA walivyojaza mijobless na mijitu mivivu siku wakishika nchi hii sipati picha.
Sasa kama huna Akili utawezaje Kuelewa?Sioni cha ajabu hapo
Hata hawa Wanne ama Umewaogopa au Umewaheshimu tu ila Mimi nasema hayupo mwenye Akili.Pale "mjengoni", wenye akili hawafiki wanne!
Ni kawaida sana kwa 'Nuts' Kuteteana!!!Yuko sahihi..
Jamaa ameanza kulalamika hbr ya hiyo barabara muda mwingi sn.Tangu dunia iumbwe hiyo barabara ni muhimu na haijawahi kujengwa
Hadi mwaka Jana nakumbuka gari lake liliwahi kuzama kwenye matope na wananchi ndy walilisukuma.wacha Tu apige sarakasi,ujumbe umefika
Nikikupopoa usiende kukimbilia Kwa mods..maana ndy umeanza kuhama kwenye context na kuongea usenge.Ulikuwa na haja gani ya kunitukana wakati nimecomment kistaarabu tuNi kawaida sana kwa 'Nuts' Kuteteana.
Mbona nawe hujasema kuwa Unaivuta?bangi tunavuta tuko wengi tu..mshikaji wangu yuko tra ni afisa mkubwa tu anakula bangi kila baada ya masaa manane kwa siku...mshikaji wangu mwingine ni afisa muuguzi pale hospital ya wilaya kondoa anakula bangi kabla hajaingia job.....namalizia wakurungwa nina mshikaji wangu mwingine anaitwa dr christopher yupo pale hospital ya milambo tabora anakula bangi mpaka meno ya mbele yamebadirika rangi....wakuu vuteni bangi inaongeza confidence...