Bado sana mbona!!Mkuu natamani sana iwe hivyo lakini naona kila kitu kwasasa kimesimama sidhani kama kuna jipya litatokea nchi hii kwasasa, labda Mungu aamue kuingilia kati maana ni kama wanamtandao wako mbele ya wakati sana na wamejiimarisha hasa. Watatupeleka watakavyo kwa miaka mingi sana
Ni sawa na kusema Biblia ni karatasi tu, ni kanuni katika maisha ya watu!Wakuu
Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata hiyo.
Ni lini tutaanza kujadili mfumo wa Katiba Mpya yenye demokrasia na inayowaendeleza Watanzania wote?
Akijibu, alisema Katiba ni karatasi tu na haileti chakula au maendeleo bila mtu kufanya kazi na kujenga uchumi wake.
"Katiba itakuambia barabara ikikamilika itengeneze? Katiba itakufanya upate bidhaa nyumbani? Swala la Katiba ni karatasi! Lakini kikubwa kila mmoja atengeneze maisha na uchumi wake. Kuna nchi zimebadilisha Katiba mara elfu, lakini zinafanya nini?"
"Majirani zetu wengi wamebadilisha Katiba zao, lakini Katiba bila kwenda shambani utakula? Katiba bila kufungua mlango wa duka la dawa utakula? Mimi sitalajii kama Katiba inaweza kubadilisha maisha. Na Katiba iliyopo ni ile ile..."
Ni kama kuna ukweli fulani ila kuna wakati mambo yanakaa kwa kutulia Sana watu wengi Sana humu ni kama wamekata tamaa nikiwemo Mimi natamani sana mabadiliko nchi inaendeshwa hovyohovyo Sana kwasasa na utekaji ni kama umetamalaki Sana. Hata kupotea kwa Nchimbi kumenifanya niwaone wanamtandao wako level za mbali vibaya Sana anyway yetu macho na masikioBado sana mbona!!
ni vile husomi trends reading ya kinachoendelea!!
1.sponsor chivayo (Mzee wa pesa chafu ,gone)
Hii inapunguza nguvu kwa washirika!
2. Kuna ajali ajali zinatokea kwa maaskari zinarpotiwa kila mara kama ni kweli sio kawaida Kuna destabilization inafanyika kiaina coz hakuna report za uchunguzi kuwekwa wazi juu ya ajali hizo!!
3.makam wa Rais akajiuzulu then kule visiwani eda,then pesa chafu akatangulia
4. Recently kule visiwani Kuna eda inaendelea,ilikua ya faster sana kama kipanga vile,hatujakaa sawa mjane wa mapinduzi ya visiwani nae faster faster tu!!
Hizi trends ukizisoma unaona Kuna uelekeo fulani!!
Kibaya zaidi
"Operation yuda "ilianzishwa bungeni ikajipa!!
Then alieanzisha operation yuda akaanzisha "operation beyond 2030 term limit" ngoja tuone reaction itakuaje je watamwacha atambe Hadi 2030 au watampiga chini kama yuda!!?
Nawaza hizi narrative za haya mambo
Mama Karume umri ulishamtupa mkonoBado sana mbona!!

Master RESILIENT KATO hao askari wanaokufa je isije ikawa kwamba ni wazalendo, huenda hawakuwa upande wa wauaji wa waandamanaji Oct 29.2. Kuna ajali ajali zinatokea kwa maaskari zinarpotiwa kila mara kama ni kweli sio kawaida Kuna destabilization inafanyika kiaina coz hakuna report za uchunguzi kuwekwa wazi juu ya ajali hizo!!
Mkuu huyu labda ni natural death kulingana na umri wake miaka 96 ni mingi mno au?vile,hatujakaa sawa mjane wa mapinduzi ya visiwani nae faster faster tu!!
Mkuu wangu RESILIENT KATO huyo Chivayo kwa Tz alikuwa anatumikaje?1.sponsor chivayo (Mzee wa pesa chafu ,gone)
Hii inapunguza nguvu kwa washirika
Daah wabunge wa ccm ni janga kwa Tanganyika... Katiba ndiyo msingi unaopaswa kuweka, kuelekeza na kushikilia miiko ya uongozi na hatma ya Tanzania!Wakuu
Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata hiyo.
Ni lini tutaanza kujadili mfumo wa Katiba Mpya yenye demokrasia na inayowaendeleza Watanzania wote?
Akijibu, alisema Katiba ni karatasi tu na haileti chakula au maendeleo bila mtu kufanya kazi na kujenga uchumi wake.
"Katiba itakuambia barabara ikikamilika itengeneze? Katiba itakufanya upate bidhaa nyumbani? Swala la Katiba ni karatasi! Lakini kikubwa kila mmoja atengeneze maisha na uchumi wake. Kuna nchi zimebadilisha Katiba mara elfu, lakini zinafanya nini?"
"Majirani zetu wengi wamebadilisha Katiba zao, lakini Katiba bila kwenda shambani utakula? Katiba bila kufungua mlango wa duka la dawa utakula? Mimi sitalajii kama Katiba inaweza kubadilisha maisha. Na Katiba iliyopo ni ile ile..."
Wakuu

Ni sawa na...Imagine huyo ni mbunge sijui