Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

Kama Marekani iliwabidi wasubiri miaka mingi hadi kumpata Rais Mweusi,naamini hata ccm ni suala la Muda tu kubaki historia nch hii
 
Badala ya kujibu swali una ruka ruka tu ukiona haupo timamu kutetea hoja ambazo huwezi kutolea maelezo bora usi reply tu
marking scheme yako ni fake ndugu mvamizi wa sayansi ya siasa 🐒
 
CCM kipindi cha uchaguzi,huwa wanakosa wagombea au ni kuwachukua tu,ili wawe wabunge?
 
Unajua ukiwa mtu wa mfumo ni vigumu kujua team hasa uliyomo!

Kuna watu wanacheza script wasizozijua wala!hakuna mtu wa mfumo atakua loyal Kwa MTU kwa asilimia zote coz ameshaapa kiapo cha kifo kuilinda jamuhuri sasa iweje awe loyal kwako kwa asilimia zote!!?

Hao watu hawaaminiki hata kidogo kwamba wapo upande wa fulani!!

Kwahiyo unafikiri alieanzisha operation yuda na operation beyond 2030 bungeni unafirikiri yupo loyal kwa kiti au kwa jamuhuri!!?

Ukifikiria Kwa kina mambo haya Yana tafsiri zaidi ya moja!!

"Ukiona mtu anakupamba na kukusifu sana,ujue ndio anaetaka mambo yakuharibikie" anasema Moja ya kada mkongwe wa chama!!
Hayati chuma aliharibiwa uongozi wake na machawa waliopewa uchawa Kwa KAZI maalum
Sawa kiongozi
 
usishangae watu wakashangilia kwa kauli hiyo...huwa imani yangu ni ileile ngozi nyeusi tunafana akili
 
Back
Top Bottom