Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

Bado sana mbona!!

ni vile husomi trends reading ya kinachoendelea!!

1.sponsor chivayo (Mzee wa pesa chafu ,gone)
Hii inapunguza nguvu kwa washirika!
2. Kuna ajali ajali zinatokea kwa maaskari zinarpotiwa kila mara kama ni kweli sio kawaida Kuna destabilization inafanyika kiaina coz hakuna report za uchunguzi kuwekwa wazi juu ya ajali hizo!!
3.makam wa Rais akajiuzulu then kule visiwani eda,then pesa chafu akatangulia
4. Recently kule visiwani Kuna eda inaendelea,ilikua ya faster sana kama kipanga vile,hatujakaa sawa mjane wa mapinduzi ya visiwani nae faster faster tu!!

Hizi trends ukizisoma unaona Kuna uelekeo fulani!!

Kibaya zaidi

"Operation yuda "ilianzishwa bungeni ikajipa!!

Then alieanzisha operation yuda akaanzisha "operation beyond 2030 term limit" ngoja tuone reaction itakuaje je watamwacha atambe Hadi 2030 au watampiga chini kama yuda!!?

Nawaza hizi narrative za haya mambo
Master usinicheke, ongezea nyama kiongozi
 
Wakuu

Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye demokrasia utaanza. Katika ziara hiyo, pia alizindua Zahanati ya Kijiji cha Nyawishi na kutembelea pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata hiyo.

Ni lini tutaanza kujadili mfumo wa Katiba Mpya yenye demokrasia na inayowaendeleza Watanzania wote?

Akijibu, alisema Katiba ni karatasi tu na haileti chakula au maendeleo bila mtu kufanya kazi na kujenga uchumi wake.

"Katiba itakuambia barabara ikikamilika itengeneze? Katiba itakufanya upate bidhaa nyumbani? Swala la Katiba ni karatasi! Lakini kikubwa kila mmoja atengeneze maisha na uchumi wake. Kuna nchi zimebadilisha Katiba mara elfu, lakini zinafanya nini?"

"Majirani zetu wengi wamebadilisha Katiba zao, lakini Katiba bila kwenda shambani utakula? Katiba bila kufungua mlango wa duka la dawa utakula? Mimi sitalajii kama Katiba inaweza kubadilisha maisha. Na Katiba iliyopo ni ile ile..."

Wapuuzi hawa hawako tayari kubadilisha karatasi inayowanufaisha, wanatumia lugha zote kuwafanya watu mazuzu.
 
Hii ni Dharau ya karne, sasa huyu mtu kama haeshimu mamlaka iliyomteua, ana msaada gani ? Ni aibu kubwa sana kama taifa, na haina tofauti na walioitwa Mende India, tofauti ni India wamekiamsha na Tanzania tupo tuna condemn mtandaoni.
 
Alikuwa team Rostam Azizi na Emma the boy au
Unajua ukiwa mtu wa mfumo ni vigumu kujua team hasa uliyomo!

Kuna watu wanacheza script wasizozijua wala!hakuna mtu wa mfumo atakua loyal Kwa MTU kwa asilimia zote coz ameshaapa kiapo cha kifo kuilinda jamuhuri sasa iweje awe loyal kwako kwa asilimia zote!!?

Hao watu hawaaminiki hata kidogo kwamba wapo upande wa fulani!!

Kwahiyo unafikiri alieanzisha operation yuda na operation beyond 2030 bungeni unafirikiri yupo loyal kwa kiti au kwa jamuhuri!!?

Ukifikiria Kwa kina mambo haya Yana tafsiri zaidi ya moja!!

"Ukiona mtu anakupamba na kukusifu sana,ujue ndio anaetaka mambo yakuharibikie" anasema Moja ya kada mkongwe wa chama!!
Hayati chuma aliharibiwa uongozi wake na machawa waliopewa uchawa Kwa KAZI maalum
 
Msikilizeni!
Saa100 na huyu, tunaelekea wapi?
Yes,
ni mbunge makini sana wa Chama Cha Mapinduzi,CCM,
na hapo anawaeleza wapiga kura wake na wananchi ukweli mtupu, bila kumung'unya wala kupindisha maneno kwamba katiba ni karataisi tu, ni muhimu zaidi wananchi kuongeza bidii kutafuta hela kwa kufanya kazi mbalimbali kama vile kilimo n.k

Na kama taifa,
tunafaa kua na viongozi majasiri na wa kweli kama mh.Cherehani kuelekea mbele. Hakuna haja ya kubabaika sana na mihemko au makasiriko ya wasusa uchaguzi. Tufanye kazi kwa bidii kwasababu katiba mpya haiwezi kutuletea chakula mezani.

well done Mh. Cherehani :1Head:
 
CCM inasema inataka amani,ukweli CCM inapenda vita!
 
Screenshot_20260816-150515~2.png
 
CCM inasema inataka amani,ukweli CCM inapenda vita!
Yes,
jukumu moja kubwa sana la serikali sikivu ya CCM chini ya rais Dr.Samia Suluhu Hassan, ni kulinda umoja, amani na usalama wa waTanzania wote.

Hakuna mzaha, aibu, wala haya katika kulisimamia hilo.
Na kwa nguvu na gharama yoyote ile amani ya waTanzania italindwa.

plz waarifu na wenzako kuhusu hili, hilo jingine ni porojo :1Head:
 
*Wanaosomea wanaitwa D..r wanaopewa za bure nao waitwa D..r??
 
*Wanaosomea wanaitwa D..r wanaopewa za bure nao waitwa D..r??
Gentleman,
i think that should be the story for other day,
and for now,
hakuna haja ya kuhamisha au kupindisha hoja yako mahususi mezani kisayansi hivyo plz plz :pedroP:
 
Back
Top Bottom