Mbunge, Cherehani (CCM): Katiba ni Karatasi, haiwezi kubadilisha Maisha, Pambaneni kutafuta Pesa

Yes,
ni mbunge makini sana wa Chama Cha Mapinduzi,CCM,
na hapo anawaeleza wapiga kura wake na wananchi ukweli mtupu, bila kumung'unya wala kupindisha maneno kwamba katiba ni karataisi tu, ni muhimu zaidi wananchi kuongeza bidii kutafuta hela kwa kufanya kazi mbalimbali kama vile kilimo n.k

Na kama taifa,
tunafaa kua na viongozi majasiri na wa kweli kama mh.Cherehani kuelekea mbele. Hakuna haja ya kubabaika sana na mihemko au makasiriko ya wasusa uchaguzi. Tufanye kazi kwa bidii kwasababu katiba mpya haiwezi kutuletea chakula mezani.

well done Mh. Cherehani :1Head:
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatutaki kuwa na kiongozi anaionea haya katiba na ameapa kwa hiyo.
Huu ni umbumbumbu wa daraja la juu sana haufai hata kushabikiwa na wanajf
 
Msikilizeni!
Saa100 na huyu, tunaelekea wapi?

Si waseme tu hawataki. Kwani Wananchi wamemwambia kuwa wakipata katiba mpya waacha kulima au anataka kusema katiba mpya ikija hizo barabara hazitajengwa na mbolea ya ruzuku haitatolewa ....!!

Anyway, sawa katiba haileti chakula mezani .... watuambie ni nini kinachowaletea chakula mezani ...?
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatutaki kuwa na kiongozi anaionea haya katiba na ameapa kwa hiyo.
Huu ni umbumbumbu wa daraja la juu sana haufai hata kushabikiwa na wanajf
Gentleman,
daima ukweli ni mchungu,

mh. cherehani kawaeleza wananchi wake na kabisa uanwaona wameelewa vizuri ukweli huo.

sasa unadhani wewe ukikasirikia ukweli huo utabadili kitu gentleman? :1Head:
 
naona taratibu unaanza kuhamia kwenye ramli, ushirikina na uganga gentleman? :pedroP:

siasa ni sayansi gentleman,
sio chuki, mihemko, porojo au makasiriko:1Head:
Yaani kama ninyi ndo mathink tank wa chama basi hata safari hatujaanza kabisa haya ni maisha ya kijima.
Kama ingekuwa hivi hata katiba iliyopo tusingeikuta
Katiba ndiyo inaunda msingi na mipaka ya haki za watu alafu wewe uite ni kikatatasi tu.
Wakati hata hiyo nafasi aliyonayo amepewa na katiba
 
masuala ya hizo porojo za think tank yametoka wapi tena gentleman? :pedroP:

mh. cherehani amezungumza na wananchi wake na kuwaeleza ukweli na wamemuelewa, wewe upo jukwaani na makasiriko, hii dunia ni ya ajabu sana aise dah?:pedroP:
 
Yes,
ni mbunge makini sana wa Chama Cha Mapinduzi,CCM,
na hapo anawaeleza wapiga kura wake na wananchi ukweli mtupu, bila kumung'unya wala kupindisha maneno kwamba katiba ni karataisi tu, ni muhimu zaidi wananchi kuongeza bidii kutafuta hela kwa kufanya kazi mbalimbali kama vile kilimo n.k

Na kama taifa,
tunafaa kua na viongozi majasiri na wa kweli kama mh.Cherehani kuelekea mbele. Hakuna haja ya kubabaika sana na mihemko au makasiriko ya wasusa uchaguzi. Tufanye kazi kwa bidii kwasababu katiba mpya haiwezi kutuletea chakula mezani.

well done Mh. Cherehani :1Head:
Kwan wananchi wanaposema katiba mpya wanawaza kula tu au pesa ? Kama isingekuwa katiba aliyepo Sasa angepata nafasi ya kuongoza mkuu? itapendeza ukinijibu hili swali bila kuleta maan nyingine nje ya swali
 
ni vizuri ukamsililiza mh. mbunge, na utazame mapokeo na haiba za wananchi wake aliokua akiwaeleza ukweli mtupu kuhusu katiba na itapendeza zaidi,

hakuna haja ya kujaribu kuhamisha mjadala gentleman :1Head:
 
Kama wewe umemsikiliza why ume reply usingekaa kimya ? nimeuliza sababu ya reply Yako jinsi ulivyo support ndomana nikauliza kwa utashi wako je kama unaona katiba sio muhimu bila katiba aliyepo madarakani angekuwepo ? simple tu haihitaj ngonjera
 
kawaeleza ukweli mtupu wananchi wake bila kumung'unya maneno na wala kupepesa macho,

na mihemko au makasiriko ya wasiopenda ukweli, sidhani kama yana athari zozote dhidi ya ukweli huo mtupu.
katiba ni karatasi tu :1Head:
 
Badala ya kujibu swali una ruka ruka tu ukiona haupo timamu kutetea hoja ambazo huwezi kutolea maelezo bora usi reply tu
 
Msikilizeni!
Saa100 na huyu, tunaelekea wapi?
Kuna watu hawakupaswa kabisa kiwa na uongozi wowote mavi kabisa, angetokea mmoja mwenye ujasiri amuulizee yeye hapo ni nani na kapata hiyo nafasi kwa karatasi gani iliyo mfanya awe mbunge.
 
Back
Top Bottom