Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

Sasa cha haibu
Ni kwamba huyo mbunge ni wa C.C.M
Yani ,kakaa kajiandaa Siku nzima kaona hapo katoa bonge la hoja....
So,pia mishahara ifutwe coz watu wanatumia kulewea na kuhonga, ama....?

Yan,mama anaelemewa na hii mizigo.
Kazi nzuri ya Magufuli kubaka uchaguzi na kuacha vilaza konki kupeta. Bunge limejaa mazuzu matupu.
 
Reason capacity thinking yake ni ndogo, sana.
 
Vipi wao wanotumia Kodi zetu kuwaambukiza ukimwi mabinti wa vyuo!!. Sema vijana na wanavyuo wa Sasa ni wapumbavu ingekuwa dhama za 2000 kurudi nyuma huyu mbunge angelionja joto la jiwe.
 
Wadogo zetu first year mwaka huu walipewa ada kidogo sana Kwa ufisadi wao tu, Sasa naona hata hicho kidogo kinawauma.
Shame on them.
 
Vipi wao wanotumia Kodi zetu kuwaambukiza ukimwi mabinti wa vyuo!!. Sema vijana na wanavyuo wa Sasa ni wapumbavu ingekuwa dhama za 2000 kurudi nyuma huyu mbunge angelionja joto la jiwe.
Nikimaliza paper one Mimi na jamaa zangu finalists tutaandamana.
Hatuwezi chezewa hivi, na tutamsaka popote
 
Naomba kujuzwa elimu ya huyu baba, huenda ana hasira na wasomi wa vyuo vikuu, kwa kua yeye hakupita huko. Lol

Hili lizee litakua lichawi bobezii mxxxxiiiiew
😂😂😂😂😂
Asante Asante Asante sana sister
 

View: https://www.instagram.com/p/C6rXQ46I3Tq/?igsh=aXU4amF4N3U2NWhz
 
Aache mawazo ya kijinga huyo mbunge
Hatutakiwi kua na wabunge wasengerema kiasi hiki baada aje na hoja ya kufunga viwanda vya Pombe na kudhibiti unywaji Pombe kwa vijana eti yeye alivyo Zerobrain anakuja na hoja za kisengesenge msengesana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…