Mbunge haoni umuhimu wa quadratic equation na periodic table

Huu ni msiba kwa taifa kwa aina hii ya watunga sera.
Kabisa halafu huyo Nahodha aliwahi kutaka kugombea uraisi Zanzibar

Mungu akaiepusha Zanzibar isipate raisi mpumbavu kama huyo Nahodha

Kwa hili alilotamka Huyu mbunge ambaye amewahi kuwa waziri kiongozi na mtia nia kugombea uraisi Zanzibar ni msiba nakubaliana na wewe

Kwa kweli huyu mbunge Nahodha atangazwe na Spika kama janga la ujinga la kitaifa lililoko bungeni.Na bendera ya bunge ipepe nusu mlingoti kuomboleza ujinga wake
 
Amewahi kuwa Waziri Kiongozi (No. 2 SMZ), kawa Waziri SMT na sasa Mbunge (Backbencher); ni Mwalimu (kitaaluma); hajui kuwa kanuni hizo ndizo zinasimamia mifumo mbalimbali ya kisayansi..!
Inatisha.Watu kama huyu Nahodha ndio wanatufanya watanzania tuonekane wapumbavu mbele ya jumuiya ya kimataifa

Kumbe ni upumbavu wao binafsi
Hebu fikiria mtu huyo angepewa uraisi Zanzibar.
 
Kimsingi mifumo ya Elimu ya TZ haina msaada....Kuna haja ya kuisuka upya.....
 
Daaah! Periodic table na maisha ya kawaida haoni, na kavaa miwani na suti kabisa hapo,
Suti zinaficha ujinga mara ingine
Eti ooh hajui matumizi ya quadratic Equation kwenye maisha aisee

Quadratic equations are used in many real-life situations, especially where relationships involve acceleration, area, or optimization. Here are some practical examples:

  1. Projectile motion: When you throw a something, its height over time follows a quadratic equation due to gravity. It's used in sports, physics, and engineering to predict where that thing will land.
  2. Engineering and construction: Quadratic equations help calculate forces, trajectories, and dimensions—e.g., designing parabolic arches or satellite dishes.
  3. Business and economics: Quadratics model profit and revenue, especially when analyzing maximum profit or minimum cost based on price or production levels.
  4. Computer graphics: Parabolas (quadratic curves) are used in animations, game physics, and simulating realistic motion.
  5. Agriculture and land planning: Quadratic equations help maximize planting area or calculate fencing needs for rectangular plots when one side is fixed.
 
sasa mtu wa darasa la saba anajua nini,hana Logic hawezi kuelewa ,tena huyu ni wale vilaza hesabu hawajui umuhimu wake
 
Eti mpumbavu km huyu ndio alikuwa waziri kiongozi. Alisomea nini, km kt hukielewi si bora ukae kimya?
 
Halafu waziri wake wa elimu anahubiri AI,hajui AI ni combination ya hesabu na Codes. Sometimes bora kukaa kimya.
 
sasa mtu wa darasa la saba anajua nini,hana Logic hawezi kuelewa ,tena huyu ni wale vilaza hesabu hawajui umuhimu wake
Huyu amewahi kua waziri mara mbili sasa fikilia ilo tunaongozwa na akina nani
 
Yupo sahihi lakini CCM kawaida ina wabunge uchwara ila kwa hili hajakosea. Hata wewe jiulize, hiyo Quadric Equation na Periodic Table imekusaidia nini maishani.
Periodoc table inakusaidia ukiona unajua hili ni jiwe haya ni madini,haya ni madini salama sio radioactive,makaa ya mawe,acid,base,usalama wa maji,mafuta pure na yalio chakachuliwa,vyakula salama na vyenye sumu vyote tunajua kutoka kwenye periodic table unaeza ukala sulphur kisa ujinga tu,table salt na local salt vyote ni periodoc table
 
Siku huyu mzee wangu akijua kuwa kuna hesabu za calculus atapigana bungeni huyu

Sasa bila periodic table unaisomaje hiyo chemistry..??
Kesho utamkuta anasifia mama kaongeza madawa hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…