Mbunge Jerry Silaa hajui kitu kuhusu ATCL, asijifanye mjuaji

Jeri yupo sahihi. Wewe ndio mwehu. Muhimu ni kuwa na deni tunalolimudu. Ila kama unategemea ile kampuni isiwe na deni kabisa basi Wewe sahau.

Na ndege hatuziuzi . Mjipange kivingine kama hamuelewei.
Ukiwa soba rudia kusoma na ujibu tena, ila kama umesoma ukiwa soba basi Tz kazi ipo.
 
@Chizi Maarifa mwingine
 
We ndiye mpumbavu usiyejua maana ya mashirika ya kimkakati na mashirika ya kibiashara.

Kwetu Tanzania, ATCL halipo kwa ajili ya kutoa huduma za usafiri wa anga na kufanya kibiashara peke yake, pia ni shirika la kimkakati. Kuna mambo mengi yamo ndani ya shirika la ATCL. Itazame ATCL kama unavyoitazama TANESCO au TBC. Muktadha wa uanzishwaji wa mashirika kama hayo ni beyond simple business model. Niishie hapo kwanza.
 
acheni ujinga JERY AMEJIBU UJINGA WENU
 
Kwa hiyo mnatakaje? Shirika liuzwe? Ndege ziuzwe au nini hasaaa... Ni vema kwenda moja kwa moja kwenye suluhisho sababu muhusika wa yote kishatangulia mbele za haki.
Uza hisa za shirika,punguza wafanyakazi,kodisha Ndege,
 
Wacha pumba zako wewe?
Mashirika ya kimkakati yanapataga hasara miaka 5 mfululizo? Huna akili hata ya kutafakari hebu nipishe. Eti nini?shirika la kimkakati? Pumbav kabisa nipishe mie hapa
 
Huyo naye si ndiyo wale wabunge wa kura za kwenye mabegi. Na kakichwa kake kale kama pirton.
 
Ficha ujinga wako wew unaanzaje kufananisha uwekezaji wa kwene ndege kuwa ni sawa na kule wa barabara? eti ni public good kwaiyo ni sawa kupata hasara...huwez kuwa siriaz wewπŸ€”kadanganye watoto wenzako huko.
Huo muda uliotumia kunijibu ungeutumia kusoma welfare economics ungekuwa unakaribia kuwa profesa wa uchumi hadi sasa
 
We mtu Shirika la Ndege si anasa, ni la lazima. Niambie nchi gani duniani haina shirika lake la ndege? Ukiona nchi inayumba kwenye vitu kama shirika la ndege kuna mawili, either ni failed state au si nchi huru.
Yaani watu wanazungumzia NASA ya US wewe uunawaza anasa? Vijana wa ccm mna mdudu gani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jinsi ulivyoanza na mbwembwe za kumkosoa Slaa nilitegemea nikute nondo za uhakika za kutetea hoja yako. Nimeishia njiani baada ya kuona blah blah,bora hata Jerry Slaa maelezo yake yana logic.
 
Huyo mbunge ni kilaza sijawahi kuona.
 
Lakini ATC lilianzishwa kufanya biashara na siyo huduma. Ndiyo maana kuna ndege za serikali zilikua zikitoa huduma zikakodishwa ATCL.
Prof unadhani kila kitu ni kupata faida tuu!? Au unataka kudhani kila kitu kinachofanyika hata huko ughaibuni lengo ni kupata faida tuu!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vyeti sio uthibitisho wa Maarifa, ni uthibitisho wa kuwa ulihudhuria shule na kupata Maswali ya Mtihan

Uwezo au maarifa ya mtu unaweza kuyapima hata kwa namna tunavyojadiliana, kama mimi sihitaji Vyeti wala jina lako kuelewa kiwango cha maarifa yako, nafahamu wengi kupitia soga hizi za uongo na kweli tunazopiga hapa

Wewe endelea kusubiri vyeti
Wewe unajua nini!! Weka vyeti hapa angalau tujue hata ulihudhuria darasani.
 
Kwani wewe unajua nini kuhusu ATCL?

Uko mtaalamu wa masuala ya ATCL?

Swali zuri sana? Idadi kubwa ya kina sisi tunaenda kwa hadithi za kusimuliwa. Hatujui lolote ila tunabidii ya kuwa walimu wa wengine.
Ndio maana tunakwama hatusigei mbele
 
Ukiwa soba rudia kusoma na ujibu tena, ila kama umesoma ukiwa soba basi Tz kazi ipo.
Sasa naona tuanza kuwa name constructive conversation!

naona nianze kwa kukwambia tena Mr slaa yuko sahihi na anakushinda kwenye ufahamu wa mambo ya aviation. Sisi wengine sio wana aviation wa moja kwa moja ila ni avegeeks. Haya mambo tunayaelewa.

Jambo ya kwanza lazima ujue kwamba. Kuwa na degree ya business administration ya kawaida ni sawa na kuwa elimu ya chekechea kwenye mambo ya ndege. Mambo ya ndege ni dunia ingine kibasa.

Haya CAG kasema. Moya tatizo kubwa alioliona ni kwamba bodi mzima ya ATCL haina watu wenye uzoefu na mambo ya anga. Hilo ni tatizo kubwa sana kuliko unavyofikiria. Kimbuka hakusema kuwa hawana elimu, ila alisema kuwa hawana uzoefu! !!

Kutokana na maelezo yako hapo juu. Nakufananisha moja kwa moja na wanabodi wa ATCL.

Acheni ATCL iendeshwe na wataalaum, jifunzeni mambo ya Anga na uedeshaji wa mashirika ya ndege kwanza kabla hajatoa tamati ya mambo haya

Namaliza kwa kuendelea kusema SLAA yupo sahihi. Wewe unatumia hisia zaidi na si maarifa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…