M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Very soon wanadaka kiinua mgongo cha five years za porojo kule Idodomya, atawalipa easily na fungu litabaki, aendelee tu na siasa awanyooshe weliojaza mivyeti huku maisha yakiwapigisha kwata yaani hakuna hata benki inayoweza kuwaamini kwa hata kuwakopesha milioni mia moja.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Hata Wenje anasema ni mfanya bishara🤣🤣🤣Mkuu siasa ndio zimempa nguvu ya kupata huo mkopo mkubwa
Hizo biashara ni mbwembwe tu
Siasa inalipa ingawa ni utapeli
Ingekuwa kila mfanyabiashara anakopeshwa V8 kariakoo zingejaa 😄 🤣Hata Wenje anasema ni mfanya bishara🤣🤣🤣
Huyo mleta na click yake ndiyo waloivujisha katika vita vyao vya kisiasa probably ndani ya chama cha mbogamboga, a very cheap and pathetic political foul play.Acha ushamba ndugu. Kuna uhusiano gani kati ya kudaiwa na kuacha siasa?
Jamaa ana ela mzee ni zile ndinga zake za bei mbaya 200 mls plus ni si moja. Atalipa tu bila shakaMsukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
eno ya shombo huyu kumbe milioni 400 inamshinda?Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
🤣😂🤣🤣Hiyoo hela ya kawaida kwa huyooo Tapeli.
Mbona kama umechekelea sana.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Tukicheka tunaambiwa sisi maskini tunawafurahia matajiri kufiliska.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Matajiri wakiafrika wakipata wanadharau sana waliokuqa hawajapata.Mbona kama umechekelea sana.
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Alikukejeli lini jamani hii ni roho mbaya kweli ujue.Matajiri wakiafrika wakipata wanadharau sana waliokuqa hawajapata.
Wakifiliska tukacheka sisi maskini tunaambiwa tuna roho mbaya ila yeye alipokuwa anatukejeli ni roho nzuri🤣🤣