Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
100 % uchawa.“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Huyu mwenda wazimu anaita baba kabisa nyumbani?“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Haya majangili ndiyo yanalipwa mabilioni ya watu masikiniNimelia sana kwa ongezeko hili la kasi la machizi hapa nchini
Idolizing a politician is like believing a stripper really likes you, in fact dogs get more intelligence from sniffing another dog's anus than we get from the government/politiciansHaya majangili ndiyo yanalipwa mabilioni ya watu masikini
Upuuuzi mtupuuu.....hakuna hoja hapo...chawaaaa“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
TrueIdolizing a politician is like believing a stripper really likes you, in fact dogs get more intelligence from sniffing another dog's anus than we get from the government/politicians
sikuwahi kujua kama wewe ni gimbi gentleman,Yani nilionaga ni wewe tu ndio kiazi kumbe kuna viazi wengi tu garmaa.
Umetokea jimbo gani pale manyara garmaa?sikuwahi kujua kama wewe ni gimbi gentleman,
imenishangaza sana aise!
Kama kuna mbunge wa CCM mwenye utimamu kichwani aliyeelewa tafsiri ya huu mchango wako, naamini angeutema huo ubunge leo hii!Idolizing a politician is like believing a stripper really likes you, in fact dogs get more intelligence from sniffing another dog's anus than we get from the government/politicians
relax gentleman, calm down,Umetokea jimbo gani pale manyara garmaa?
Ukawadanganya kina ako na kina amaa na ma desirii wakakupa kura?
Inasikitisha sana jitu zima linachawaisha mpaka linakuwa kitukoHaya majangili ndiyo yanalipwa mabilioni ya watu masikini