PreGE2025 Mbunge Kibamba: Watanzania wengi wanatamani kuona sura ya Rais Samia kwenye fedha zetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
relax gentleman, calm down,
heshimu maamuzi ya wananchi :NoGodNo:
Yani hapo kwenye ku relax kwangu mimi ndio maisha ya kila siku gentleman, wa Iraq sio wajinga kwenye siasa mpaka wakakuchagua wewe hilo nikabila namba moja kwenye siasa za Tanzania gentleman 🐒 mlibebwa na Magufuli effect tu nyie
 
calm down,
october mwaka huu2025,
iko fursa nyingine muhimu sana kwa wananchi kufanya maamuzi ya mustakabali wa uongozi wao kupitia box la kura, na kwahivyo hakuna haja ya kubabaika hata kidogo :pulpTRAVOLTA:
 
Hata kama inafanyika reform uchaguzi ukawepo natumaini wewe utapita gentleman , ila bila reform uchaguzi ni batili.
 
“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Kwa stairi hii tujitayalishe kutawaliwa na Tusi impare sababu viongozi wetu hawana akili
 
Hata kama inafanyika reform uchaguzi ukawepo natumaini wewe utapita gentleman , ila bila reform uchaguzi ni batili.
aya ya kwanza umeonge point ya maana sana gentleman :KasugaYeah:

but,
hiyimisho lako ni nonsense kabisa kwasababu reforms zilishafanyika tayari:putinWalk:
 
Ndio napenda vijana washike hatamu za uongozi ila chini ya reform bila kujalisha chama
 
Gentleman,
nadhani itoshe tu wadau kujua na kufahamu kwamba mimi ni kiongozi mtumishi na muwakilishi wa wananchi kwenye moja miongoni mwa vyombo vya maamuzi nchini:putinWalk:
Wadau wajue mpaka jimbo unalohudumu ikishindikana wapandishe na picha zako wewe ni kiongozi wa uma sio wa chumbani bro
 
Yani hapo kwenye ku relax kwangu mimi ndio maisha ya kila siku gentleman, wa Iraq sio wajinga kwenye siasa mpaka wakakuchagua wewe hilo nikabila namba moja kwenye siasa za Tanzania gentleman 🐒 mlibebwa na Magufuli effect tu nyie
Mkuu kwan hiyo Tlatraa iko mbunge au iko diwan?
 
Back
Top Bottom