Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hilo hasa ndilo lengo kuu hususan la chama cha mapinduzi pamoja na serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan,Ndio napenda vijana washike hatamu za uongozi ila chini ya reform bila kujalisha chama
na reforms zimefanyika ndio kwasababu unaona cabinet ministers wengi ni very powerful youths kabisa, angalia RC's and DC's kumesheheni vijana wa kutosha na huo ndio uelekeo wa Taifa letu
