Aminata B Ruhinda Ntare
JF-Expert Member
- Dec 9, 2024
- 243
- 1,180
Habari kama hii ndio mfano mzuri wa funika kombe mwanaharamu apite kwasababu nafikiri agenda ilikuwa kuchokoza wananchi (but to be fair saa zengine wanachama wanafanya vitu ambavyo vinaweza kuudhi wengine lakini ni katika michakato yao wenyewe ya kupeana sifa tu maskini). Watu wanamalalamiko mengi mbunge huyo anaongelea mambo ya kubadilisha hela. Kwa mawazo yangu, kitu kinachoangusha CCM niwaliacha kujaribu kushawishi watanzania kwa kazi zao kuwa wao ni chama cha maendeleo. (Allegedly nisije nikaburuzwa mahakamani bure) Nafikiri walijiamini kupita kiasi na wakaanza kutumia nguvu badala ya strategy za persuasion. Watu wakiwa na attitude ya mtake msitake mambo ndio haya sio vizuri.
Pia wana JF bravo, naona watu wengi wanakataa kabisa kuchokozwa na kupandishwa hasira -- inaforce watu ambao wako JF kuzusha ugomvi kufikiria strategy zingine.
Pia wana JF bravo, naona watu wengi wanakataa kabisa kuchokozwa na kupandishwa hasira -- inaforce watu ambao wako JF kuzusha ugomvi kufikiria strategy zingine.
