hilo hasa ndilo lengo kuu hususan la chama cha mapinduzi pamoja na serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan,Ndio napenda vijana washike hatamu za uongozi ila chini ya reform bila kujalisha chama
Kwani Mh rais anataka picha iwe yake?“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Yan hapo kwenye reform tu ndipo kuna tatizo mkizikubali hizi kura yangu nakupa wewe.hilo hasa ndilo lengo kuu hususan la chama cha mapinduzi pamoja na serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan,
na reforms zimefanyika ndio kwasababu unaona cabinet ministers wengi ni very powerful youths kabisa, angalia RC's and DC's kumesheheni vijana wa kutosha na huo ndio uelekeo wa Taifa letu
kura za waTanzania inategemea record, dhamira na mipango ya maendeleo ya mgombea uongozi, mambo ya reforms ni ya kisiasa kwa wana siasa gentlemanYan hapo kwenye reform tu ndipo kuna tatizo mkizikubali hizi kura yangu nakupa wewe.
Sawa gentleman ila lisu kwanza asee✌️kura za waTanzania inategemea record, dhamira na mipango ya maendeleo ya mgombea uongozi, mambo ya reforms ni ya kisiasa kwa wana siasa gentleman
sihusiki na mambo ya kibinafsi ya mtu, nadeal na kufocus na mambo ya jumla kuhusu maendeleo ya wananchi wote gentlemanSawa gentleman ila lisu kwanza asee✌️
Umesaidia vituo vingapi vya yatima ? Na watu wasio jiweza? Au unajilimbikizia tu mali kwa hisani ya wananchi?sihusiki na mambo ya kibinafsi ya mtu, nadeal na kufocus na mambo ya jumla kuhusu maendeleo ya wananchi wote gentleman
ni vigumu kwa watu wa kujitolea kukumbua au kutamka idadi kwa mambo ya kujitolea bila kujibakiza gentleman,Umesaidia vituo vingapi vya yatima ? Ma watu wasio jiweza?
ni sahihi kwa sababu ni RAIS mwanamke tangia tupate uhuru“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Sawa mkuuni vigumu kwa watu wa kujitolea kukumbua au kutamka idadi kwa mambo ya kujitolea bila kujibakiza gentleman,
kwasababu haina maana sana, ila namshukuru Mungu kuniwezesha kufanya nililoweza kufnya na kuendelea kujitolea zaidi ninapopata nafasi. Sio jimboni kwangu pekee na hata kwingineko nchini
😁😁😁Aisee..! hadi aibu!
Msituangushe OctoberMimi makaazi wa Jimbo la kibamba ambalo hakuna maji,barabara za hovyo,hospitali hakuna,shule za msingi na serikali za hovyo,makazi holele natamani huyu mbunge siku nikimuona nimpige hata jiwe maana wananchi hatujamtuma kwenda bungeni kuongea ujinga huo.
Jimbo lake ni hovyoo kabisaa, km malamba mawili ndo hatariii, wanachi wa kule sijui wanawezajee, LolMimi makaazi wa Jimbo la kibamba ambalo hakuna maji,barabara za hovyo,hospitali hakuna,shule za msingi na serikali za hovyo,makazi holele natamani huyu mbunge siku nikimuona nimpige hata jiwe maana wananchi hatujamtuma kwenda bungeni kuongea ujinga huo.