Aminata B Ruhinda Ntare
JF-Expert Member
- Dec 9, 2024
- 243
- 1,180
Tatizo polisi na tume ya uchaguzi(hupindisha matakwa yetu)Bora tu iwe no reform no electionMsituangushe October
Pumbavu huna akili wewe! Unapeleka wazo tu bila kulichuja? Nyoko wewe matinki ya babako!“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Huwa tunaita mwehu akipewa nafasi ya kusema anatapika minyoo!Huu ni uharo unaotokea mdomoni
Baada ya yule aliyekuwa na ndoto toka utotoni ya kuina saini yake iko kwenye noti ya sh.10,000/= sasa mnakuja na noti mpya nyingine yenye sura ya Samia! Safi sana pesa zote ni zake atoe tu tuchapishe nyingine.“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294
Sasa mbona inakuwa inaongea kama vile haiko na akili ya kuongoza watu ya mitazamo tofauti?.Iko mbunge mufupi
Mimi sasaifi naheshimu wew hata kama iko ongea mafi mafi. Maana iko heshimu sana ile watu ilichagua wew.hilo hasa ndilo lengo kuu hususan la chama cha mapinduzi pamoja na serikali sikivu ya ccm chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan,
na reforms zimefanyika ndio kwasababu unaona cabinet ministers wengi ni very powerful youths kabisa, angalia RC's and DC's kumesheheni vijana wa kutosha na huo ndio uelekeo wa Taifa letu
gentleman,Mimi sasaifi naheshimu wew hata kama iko ongea mafi mafi. Maana iko heshimu sana ile watu ilichagua wew.
Lakin siku mimi najua wew iliiba kura ya wananch yako basi natukana wewa ile matusi kubwa na nzito sana kwa moyo moyo kama ile matusi Goliath tukana Sauli.
Nyuzi kama hzi za maneno ya haya makimba zinaweza kutusababishia Ban tu. Mwandishi huna kosa ila huyo mbunge ni kimba la kiburu“Watanzania wengi wanatamani kuona Sura ya Rais Samia kwenye Fedha zetu, hii Italeta heshima kubwa kwenye Nchi yetu, kwa sababu tumeona mafanikio makubwa ya Nchi yetu kuongozwa na Rais Mwanamke” Issa Mtemvu - Mbunge wa Kibamba.
View attachment 3320294