Hiyo sio kero. Maana kwenye muungano mzanzibar au mbara anaweza kuwa Rais.Kero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Unaongopea watu.Mimi ni Mzanzibari Kwa kuzaliwa na kuishi ila tv unalipia.Kama wewe hulipi una ndugu yako customs au TRA Maana unalipa kwanza customs then unapotaka kutoka unalipia TRA.Kuepusha usumbufu labda ulipie Kwa ofis ya Azam ukaukute mzigo wako ofisini kwao wanajua wenyewe wanavyolipana.Mimi huwa napita tu na tv zangu na vitu vingine vidogo vidogo kutoka zanzibar bila usumbufu wowote wa kulipa kodi. wengine huwa inakuwaje unasumbuliwa na vitu vidogovidogo hivyo
Wazanzibar huwa hawana sudi na kero za wabara wanaoenda huko bali wao wanatoa kero zao na kutaka wanufaike zaidi na Muungano.
Mbara nenda kanunue plot huko zenji uone shuruba yake. Lakini wao wanamiliki mashamba na vilima bara
Halipi usiwahadae watu atalipishwa bandari ya Daresallam na sio Zanzibar Kwa wachaga.Analipishwa
Tunasakwa kuwa tunatishia uhai wa muunganoKwani na nyinyi mumezuiwa kutoa kero zenu?
Kwa jambo lipiWazanzibar ni wabaguzi sn
Mimi kwa bidhaa nyingine sijui sina uzoefu nazo,ila kwenye sukari kilo 5 hapana!!ni mwaka mzima sasa kila ninapoenda unguja,kila mwezi narudi na sukari,na unakuta watu wengi wanakuwa wamebeba,kwani hiyo kilo 5 huwa wanaipack kwenye mifuko ya nailoni mikubwa,hivyo inabebeka mkononi tu!!sijawahi ona mtu akiambiwa akalipie!!!lsasa kama lilikuwepo huko nyuma sio la kulilalamikia sasa.Jambo kama halijakupata wewe usifikiri kwamba halipo.mradi umesikia watu wakilizungumzia jua lipo au lilikuwepo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tunasakwa kuwa tunatishia uhai wa muungano
Jiulize kwa nini nipo behind the pen name?umewahi kusakwa lini wewe?
Acha kupotosha watu wewe,hata kama unaenda zanzibar kama una kitu ambacho kinaonekana labda umekinunua lazima ukilipie tu,itategemea na ukubwa wake,au wingi wake.HlMimi siku moja nimebeba cramping tool moja,na ninaenda kufanyia kazi huko,na nina vifaa vingine,ambavyo nilikuwa na barua ya TRA,havikuwa na shida,hii moja nilikuwa nimeibeba mkononi tu,nimefika unguja ZRA wakanikomalia ikawa inshu kubwa,wakati kwenye delivery note imo ila TRA,walisahau kuiandika!!Hadi boss wao ndio alikuja kuli solve!!,nimetoka unguja kwenda pemba nako wakakomaa!!lakini badaye wakaelewa!!!Inshu ikaja tena kwenye vifaa vilivyobakia baada ya kumaliza kazi kuvirudisha tena Dar,ikawa inshu,ila vilifika.Tuwe wakweli usumbufu ni mkubwa sana.Huo muungano unafaida kisiasa tu,lakini kiuchumi hapana.Kero haipo Zanzibar,ukienda zanzibar huulizwi kitu,ukirudi huku Kwa wachaga unakomeshwa.Ila Kwa vile una chuki imekujaa upumbavu umekufanya mpofu.
12500 kilo?Mkuu kwa hilo nalikataa,mimi karibu kila mwezi lazima niende unguja narudi na sukari kilo tano,cjawahi hata kuulizwa na mtu.Ila kwa sasa imepanda hadi 12500-13000 ,toka 10,000 ,Hata haina haja tena ya kununua huko.Labda kama ni zaidi ya kilo 5!!ila kwa kilo tano.HAPANA.
Kwa mfuko wa 5kgs12500 kilo?
OkKwa mfuko wa 5kgs
Kwa hiyo wabara tumekuwa wakupeleka magonjwa Zanzibar[emoji17][emoji17]Ulitaifishwa na kuharibiwa ili usilete magonjwa!.
Hakuna nchi ndogo ndugu tumia akili, hizi nchi zote zina hadhi sawa. Hizi zilikuwa nchi mbili huru kabla ya kuungana. Kuna nchi hapa duniani ni ndogo kuliko Zanzibar lakini ni nchi kamili yenye sawa na nchi yeyote ile duniani. Km wewe ni mrefu au mnene kuliko mwenzio ndio kusema we ni mtu kamili na mwenzio si mtu kamili? Ukubwa wa eneo hauongezei hadhi yoyote.Kero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Acha upumbavu, someni sheria na taratibu zilizowekwa sisi siyo wanyama kila sehemu kuna taratibu zake. Mijitu mizima kila kitu kulalamika, watu wa aina gani nyie? Nyau kabisa.Hakuna muungano nchi hii, yule dada na ndizi zake wakamsumbua huko Zanzibar hata sijui kama alifanikiwa kuupata ule mzigo wake..