Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
Zanzibar kama haitaki kodi basi iweke kodi sawa na Bara bila hivyo itakuwa kichochoro. Anaye uliza swali naye ajibu swali kwanini Zanzibar ina kodi tofauti wakati ni nchi mmoja?