Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

Daaah hii ni kero kubwa Sana tena ukifika pale bandarini Huna pesa ya kulipia kifaa kinazuiwa
 
Amwulize Pinda aliposema Zanzibar siyo nchi kilitokea nini. Huwa najiuliza kwanini Tanganyika ilikubali kufa na sasa inaitwa Tanzania bara. Lakini Zanzibar ipo na inaongezewa jina jingine Tanzania visiwani. Ilhali tuliambiwa TANZANIA imepatikana baada ya kuunganisha nchi mbili kuwa moja. Tanganyika+Zanzibar = TANZANIA.
 
haha yani zenji ilitakiwa iwe kama mayotte kwa ufaransa
 
Labda tuanze na Rais wa Zanzibar wa sasa hivi, yeye alishakuwa mbunge huku Danganyika alafu akagundua kwamba hataweza kuwa Rais kule Zanzibar akitokea Danganyika akaenda Zanzibar akagombea ubunge huko sasa ni Rais. Nadhani ataingia kwenye rekodi ya Guiness duniani mtu ambaye ameshakuwa mbunge nchi mbili tofauti duniani na kuwa Rais nchi moja na tushishangae baadae akawa tena rais wa Tanzania kama alivyokuwa baba yake.Hii ndio Danganyika bana.....
 
viongozi ndio wanautaka ndugu. ila ukweli wakiweka referendum leo hii, utashangaa wazanzibar ndio wanataka kwasababu hakuna mbara anayeukubali ambaye hafaidiki nao.
Sahihi.
 
Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
IQ yako lazima ni Single Digit
 
Hapana bnana kwa sukari kilo 5 sio kweli!!juzi juzi tu nimetoka unguja nimebeba kilo tano,na wengi tu walikuwa nazo cjaona hata mmoja akiulizwa juu ya kuilipia!!
Kwani huko znz sukari bei gani?
 
Ni kweli kabisa unakuta mtu ananua vitu kama hivyo zenji lakini kuingia Tz bar Kodi tena
 
Back
Top Bottom