Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini uwende kuchukua Zanzibar wakati kariakoo vipo?Daaah hii ni kero kubwa Sana tena ukifika pale bandarini Huna pesa ya kulipia kifaa kinazuiwa
haha yani zenji ilitakiwa iwe kama mayotte kwa ufaransaAmwulize Pinda aliposema Zanzibar siyo nchi kilitokea nini. Huwa najiuliza kwanini Tanganyika ilikubali kufa na sasa inaitwa Tanzania bara. Lakini Zanzibar ipo na inaongezewa jina jingine Tanzania visiwani. Ilhali tuliambiwa TANZANIA imepatikana baada ya kuunganisha nchi mbili kuwa moja. Tanganyika+Zanzibar = TANZANIA.
Sahihi.viongozi ndio wanautaka ndugu. ila ukweli wakiweka referendum leo hii, utashangaa wazanzibar ndio wanataka kwasababu hakuna mbara anayeukubali ambaye hafaidiki nao.
IQ yako lazima ni Single DigitWakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Kwani huko znz sukari bei gani?Hapana bnana kwa sukari kilo 5 sio kweli!!juzi juzi tu nimetoka unguja nimebeba kilo tano,na wengi tu walikuwa nazo cjaona hata mmoja akiulizwa juu ya kuilipia!!