Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

kama kuna dini na madhehebu yana makasisi wanaojiita watumishi wa Mungu lakini bado ni mashoga, unashangaa nini hawa mbulukenge mafisadi wakuu kuwa mashoga?
Hahaha nashangaa hizi Mbulukenge kutangaza kwenye jengo takatifu
 
Hahaha nashangaa hizi Mbulukenge kutangaza kwenye jengo takatifu
wacha wajitangaze tu. Hizo mbulukenge zina madeni sana, inawezekana zinazofanya hayo mambo zilikopa huko kwa masharti kuwa lazima zianze kupigana pipe, si unajua kuna ma-ngo yenye mlengo huo?
 
Unapoiga chapuo WAACHANE NA USHOGA ili kuwalinda CCM na si kuyalinda maadili ya jamii yetu eti?
 
"Ipo haja ya huyu mbunge kuthibisha haya kwa uwazi kabisa ili hatua za kisheria zianze kachukuliwa ndani ya Bunge kama mfano hai wa Tanzania haikubaliani na Upumbavu huu"
:Watajwe bila kumungunya!, taratibu zingine zifuate!
:Ubunge wao usitishwe mara moja!
BUNGE NI CHOMBO CHA HESHMA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…