Kwahiyo Tanganyika iendelee kuwa kama shamba la bibi tuu, na hao Zanzibar wanatumia Tanganyika kama shamba la bibi tuu.
Shamba la bibi kwa namna gani?, umekosa ardhi ya kulima? Au wanaiba rasilimali za bara? Eleza kwa kina.
 
Ila wakati wa Karume baba na Jumbe wazanzibari walikuwa wakija bara lazima wawe na paspoti.
Mheshimiwa mbona anaturudisha nyuma? Huko tulishapita, wenzetu ulaya wanaendelea kuungana, nchi za Africa mashariki zinazidi kupanuka na kutumia passport Moja sisi tunafikiria kusafiri kwa passport kwenye nchi Moja, Kuna shida mahala.
 
Si tuuvunje tu Muungano. Yani anayasemea haya akiwa yupo kwenye ardhi yetu ya Tanganyika aisee
Analipwa posho na watanyika maana Zanzibar haichangii hata senti tano kuendesha nchi, bado wanataka mfukoni wa Jimbo uongezwe wakati hawachangii, wanachukua payee wakati hawachangii.
Kama wana ardhi chache wanakuja kuchukua markari ya ardhi ya Nini.
 
Na wao wakija bara wawe na passport tena wasiruhusiwe kukaa huku zaidi ya wiki 2
 
Mbunge amepotoka Sana,watanganyika gani wanamiliki ardhi Zanzibar,wanufaika wakubwa wa Muungano ni wanzibar,wapemba wengi wako bara,mpaka mbarali huko wako wapemba na wamejenga nyumba.Hapa Dar ghorofa au nyumba nyingi ni za wapemba. Aache chuki au kujenga chuki miongoni mwa watanzania.
Ushauri
Huyu ana viashilia vya uhaini,ajitafakari na hafai kuwa kiongozi
 
Kwanini wasiombe tu muungano uvunjwe.
Ubaya wazanzibari wengi hawajui kwamba maisha yao ni nafuu sababu ya uwepo wa mwingiliano huru na watanganyika, wakiruhusu siasa iamue watakuja kujuta... Watakuwa wakimbizi wetu
 
Upuuzi wa kupeleka Mkutano wa Mamlaka za Tanganyika (ALAT) kufanyika nchi nyingine ukome.
 
Mnautazamatu muungano uvunjike wakati hata tanganyika imevunjika.
Wapo wenye uhakika wa kazi na ajira hasa kwenye teuzi. Wapowapotu lakini wanahamishwa wakiiba hapa wanaenda pale.
Waliokua machawa ndio wenye nchi maana wapo karibia na jiko
 
Ubaya wazanzibari wengi hawajui kwamba maisha yao ni nafuu sababu ya uwepo wa mwingiliano huru na watanganyika, wakiruhusu siasa iamue watakuja kujuta... Watakuwa wakimbizi wetu
Uvunjwe sasa ili wajionee
 
Nyerere sijui alitoka wapi na hawa mapumbavu!!
Bana weeee! Na mimi ndo nachoka akili hapo......

Nyerere kabisa kabia akaamua kugawana nchi yake na kakisiwa.... alituingiza huu mkenge jamani, tunatokwa machozi, tunavuja damu..... kwa kutaka sifa za kuwa African stateman... statesman gani mjinga anaegawa maslahi na rasilimali zake ?

Mimi nimegundua Mwafrika huwa hana spatial awareness, hatambui hatari zilizoko usoni mwake....Akili za Nyerere kwa uamizi ule ni sawa sawa na wachota mafuta tanker likipinduka.... kutotambua hatari usoni mwako




mtu haoni hatari usoni mwake, ndo maana mpaka leo kiongozi wa nchi anagawa mapande ya ardhi yake, Mwafrika aliuza wenzie utumwani, tunagawa mpaka bandari ya nchi, tulipeleka wanajeshi kufia Namibia na Zimbabwe huko for nothing zaidi ya kutaka sifa za kimataifa, bila maslahi yeyote... tunajigawa bure, huwa hatuna upeo masikini ya Mungu wa kuona hili jambo na lile na lile ni hatari kwa masilahi yangu na uhai wangu

I mean, how stupendously stupid can you be to give someone else your giraffes and lions so they can go and start their own artificial game parks in the Arabian desert ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…