Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

Sio kweli, inategemea kimepitia wapi. nishanunua vitu sana ebay na alibaba through international shipping nikaenda kuvichukua posta na hamna alieniuliza. ila vikipitia DHL and the like imekula kwako
unless vipo exempted; hata Posta huwa kuna Afisa Ushuru toka TRA anakuja pale na anakata ushuru accordingly....

Tofauti ya DHL na Posta moja ni Door to Door (assisted in clearing) nyingine unafuata mwenyewe na kufanya clearence mwenyewe au through clearing and forwarding agent
 
Yeye alipwa mshahara usiokua na kodi,shida wa jpm kutuletea wauza nyama bungeni...tanzania ndio nchi yenye bunge la hovyo la ccm lililojaa wajinga na zero brain
 
Nakumbuka huyu ndezi wa viti maalum aliwahi kusema Bungeni eti wanaume sikuhizi hatuna nguvu za kiume[emoji3061]

Ndio huyo huyo

Alikuwa anajitongozesha tu kwa wanaume bungen na TV ! Biashara matangazo si unajua.Hicho hakutumwa akaseme bungeni. Ndio maana napinga bunge kuwa live hiyo live wengine wanatangaza biashara zao zisizohusiana na bunge TV live bila kulipa bungeni tangazo la biashara zao wasizolipa kodi

Kuna Haja TRA iangalie vyanzo vingine kama hicho huyo mbunge akiongea kodi zikatwe sababu hujengewa nyumba,nk wakiwaridhisha

TRA kaeni Naye huyo mbunge kaongea kuhusu mwanaume akiridhika akahonga hela mwanamke au akamnunulia gari mpokeaji alipe kodi awe mbunge au changudoa uswahilini

Ni eneo jipya TRA wamelisahau
 
Heheheee! Tatizo unatumia logic sana. Siasa haiko hivyo
 
Nakumbuka huyu ndezi wa viti maalum aliwahi kusema Bungeni eti wanaume sikuhizi hatuna nguvu za kiume[emoji3061]
Ndie

Labda tumuulize anasemaje kuhusu wale akina mama wanajiuza mikoa kibao na tuvibanda tudogotudogo walioko mikoa kibao Dar ikiwa inaongoza ambao wanatoka mkoa mmoja wa kanda ya ziwa kodi TRA walipe au wasilipe?
 
Si vyote vinafanyika Marekani vifanyike Bongo. Mtaua ubunifu na mitaji. Fanyeni study kwanza!
 
Mkumbuke huyo ni spika tu, mzungumzaji anaweza akawa nyuma huko amevaa tai au skafu yenye bendera ya jamuhuri 🐒
 
Acha ubishi mkuu, mi ndo nimenunua alafu unaleta ubishi tena vitu vingine vya anasa
 
Kwa hiyo hukulipa kodi.posta ?
Yes mara kibao, ila kama mzigo ukiwa mkubwa(kiumbo) najua unapitia custom. nakumbuka zamani kidogo niliagiza saa nikafungiwa kwenye bonge la box, custom wakanidandia na kunipigia bonge la kodi kama ulivyosema. Nikalia lia kua mi ni wakusoma yule mzee akanionea huruma akasema haya toa 14,000/= nikatoa nikasepa, la sivyo ningegongwa 80,000/=.
 
Mhona Marekani tangu zamani Rais hateui tume ya uchaguzi na hatujaiga hilo?
 
Huyu ukifuatilia hoja zake tangu zamani amejigeuza kuwa mbunge wa serikali badala ya wananchi. Viti maalum vifutwe.
 
Nimesikitika sana leo. Unaona mtu kama huyu anasema biashara za mitandao zikatwe kodi wakati leo nimefanya manunuzi pharmacy na kituo cha mafuta. Risiti za TRA zote zina VAT 0%!!

Hatutasonga kutoka hapa tulipo kwa kasi!!
 
Neema anaakili na anajisomea sana ila kwa kutafuta sifa na kutaka kuonekana na mama Samia kuna muda anaongea pumba.

Kwa bongo Online ni sehemu ya kufanyia promotion ya bidhaa hivyo labda tulipe kodi ya matangazo ambayo nayo sidhani kama serikali inahusika nayo.
 
Acha ubishi mkuu, mi ndo nimenunua alafu unaleta ubishi tena vitu vingine vya anasa
Hakuna sheria tofauti ya Kodi baina ya DHL na Posta kuna kipindi zamani ulikuwa bidhaa ikiwa declared as gift au less than 50 USD hulipi ila hayo yalishafutwa hence kama huwa hulipi na bidhaa sio exempted basi kuna uzembe unafanyika katika hio posta yako
 
Sasa hiyo kutanganziana facebook au jamii forums halafu mnauziana pembeni hiyo siyo online business. Ni kama kutangaza gazetini au redioni halafu manauziana pembeni, hawezi kuwa onradio business au in newsapepr business. Mimi ninazungumzia zile online business ambazo zinazua bidhaa online, yaani malipo yanafanyika online, na nimetoa mifano yake kwenye post mojawapo huko nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…