Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

Attachments

  • IMG_1114.jpeg
    IMG_1114.jpeg
    77.3 KB · Views: 1
japo hakutumia njia sahihi kumuadhibu kijana imagine wewe hapo umegundua unataka kuuliwa kwa sumu na fulani utafanyaje?????

Tunahukumu sana na yeye ni binadamu
SASA KAMA MTU NDIO NAIBI WAZIRI WA SHERIA....ANAFANYA HIVYO, SASA NJOO KIUHALISIA MWANAO KAIBIWA PENSELI SHULE ALAFU KUNA MTU KAMUHISI... UMEMFUNDISHA MWANAO AMFANYAJE MUIZI WAKE??? UKISHAPATA JIBU LIGEUZE YANI MWANAO NDIO AWE MWIZI / KAHISI KUIBA .... UKISHAMALIZA HAPO NENDA KWA PAUL GEKUL FANYA SIO HUYO KIJANA FANYA WEWE NDIO UMEHISIWA ALAFU TUPE MAONI YAKO, YAKO MBWA WEWE...NYIE NDIO MASHOGA WENYEWE
 
Kujua sheria kunanifanya nisiwe nashadadia mambo kwa mob justice, hizi habari mzisikie tu, mimi sitetei unyanyasaji wowote lakini mfahamu kufanya unyanyasaji ni jambo moja na kuthibitisha unyanyasaji huo umefanyika ni jambo jingine mahakamani,
Mimi situmii neno lolote kusumsupport huyo mbunge wa kijani wala kumkosoa na kumzodoa kwa sasa hana hatia yeyote mbele ya macho ya sheria mpaka mahakama iseme vinginevyo
By the way hayo manyoka yakijani tuyaacha yapigane huko ccm kwao yenyewe
 
Gekul akubali tu, hiyo ndio imeenda.

Unaibu waziri amepoteza. Ubunge ndio unakwenda kufikia tamati 2025, na harudi tena bungeni. Biashara zake ndio mwanzo wa kufilisika. Hadhi na heshima yake kijamii ndio imekwenda milele.
Kama alikuwa na dharau kwa wanaume sasa ndio muda wa kumtafuta yeyote anayepumua ili aishi naye na kukidhi haja zake.

Shwaini
 
Na ni haki zaidi kwa mwenye fedha na ukubwa fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
It's true, kwa Tanzania murder case haina dhamana, lakini Brother Ditto alipomfyatua yule dereva wa dala dala, alitetewa na wakili Nimrod Mkono, na Ditto akaachiwa kwa dhamana!.

Tena kuna mtoto fulani wa Kigogo fulani alichomoa chuma akamfyatua shamba Boy wao kisa alirudi home ghafla akakuta kumbe shamba boy anajilia dada yake!, kwa hasira akachomoa chuma na kumuwasha hapo hapo!.
Dogo alikamatwa, DPP hakuanzisha mashitaka and it was over!.

Mlinzi wa Dr. Slaa kwa jina la Kagenzi, was tortured ndani ya torture chamber ya chama fulani!, akaripoti police, hakuna mashitaka yoyote yaliyofunguliwa!.

Tanzania ukiwa VIP, haki inalalia kwako!.
P
 
Hakika tuna safari ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujua sheria kunanifanya nisiwe nashadadia mambo kwa mob justice, hizi habari mzisikie tu, mimi sitetei unyanyasaji wowote lakini mfahamu kufanya unyanyasaji ni jambo moja na kuthibitisha unyanyasaji huo umefanyika ni jambo jingine mahakamani,
Mimi situmii neno lolote kusumsupport huyo mbunge wa kijani wala kumkosoa na kumzodoa kwa sasa hana hatia yeyote mbele ya macho ya sheria mpaka mahakama iseme vinginevyo
By the way hayo manyoka yakijani tuyaacha yapigane huko ccm kwao yenyewe
Sawa ila Ugali wa Naibu waziri kashautema....Na hao hao CCM wenzie tayari huko simu zinaita kwenye wajumbe wa mashina ...yani 2025 kuna mbunge tayari kashaona hapo ndio kwa kupitia🤣....Hata lizimwe ila 2025 akigombea hapo hatobei ...Mark my word, Tuhuma tu zinafaa Tosha kushafuka kisiasa. Bila hata uthibitisho...
 
Back
Top Bottom