Mbunge Pauline Gekul akamatwa na Jeshi la Polisi akijaribu kutoroka nchini kuelekea nchini Kenya

Mbona Makonda hakamatwi kwa uuaji na ujambazi?
wanadai alikuwa anatumwa... system ndani ya system...lakini amini nakwambia mwisho wa watu jamii yake huwa mbaya...kama kweli ametenda hayo anayo shutumiwa haki huwa haipotei inachelewa kidogo tu.

tumpe muda either atubu...au karma ipite nae😭😭😭😭​
 
Na sio ajabu yupo selo ya VIP analishwa kama queen 😂😂
 
Ashughulikiwe inavyostahili
 
Kuna askari wamemwambia tupe ela tukwambie kinachopangwa kuhusu wewe, akawapa. Baadae wakamwambia utakamatwa kimbilia Kenya, akawasikiliza. Haohao wakatoa taarifa kuwa anataka kutorokea Kenya tumfatilie.. hii nchi raha sana. Lakini atakuwa amefanya kweli makosa. Kama msafi anaogopa nini!?.., Waziri unaenda kutishia maisha na kumwekea mtoto chupa matakoni!?.., mbona ma agent wa third party wa kuwatuma kupiga mkwara street wapo kibao!?..., Uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana. Naanza kuwa na mashaka na viongozi tulionao. Kama huyo ndo Waziri tena wizara inayohusu sheria anafanya utoto kama huo...
 
ni mwehu huyo, kajiharibia mwenyewe, awe mbunge wa kwanza kujiuzulu ubunge kwa kashfa hiyo mbaya, hakuna namna. Wenzake hutengenezewa kashfa wajikwe waanguke yeye kajifanyia asidhani kapigwa kimbola
 
Hebu weka link ya hii habari tuthibitishe ukweli; tujue ccm imebadilika!
 
Kwenda zako eti bashite na sabaya nao. Chuki zenu kwa maadui wa ufisadi . Mumezua uongo na kumtesa sabaya kukaa gerezani bure miaka miwili mwisho mumeonekana ubaya na ujinga wenu.
 
hana alicho ibiwa...chawa wake alimwambia kuwa mmoja wawafanyakazi wake muhudumu wa hoteli yake amekuja hapo kwaajili ya kumpeleleza na kumuwekea dawa za kienyeji...

huyu mbunge kwa kutumia akili za makalio akamteka huyo mfanyakazi wake na kumtesa mateso yaliambatana na kuamrisha aungiziwe chupa sehemu za siri😭😭😭😭 kijana wawatu akaingiziwa chupa makalioni😭😭😭

inasikitisha sana kwa alichokifanya huyu mbunge....tuishukuru sana mitandao viongozi wengi ni majambazi ila siri zao atujawahi kuzithibitisha...

kidogo kidogo wasipo jirekebisha mambo yatakuwa dhahiri🤣🤣🤣🤣
 
Daah yaani hapa ndo kaharibu kabisa !! Nahisi hata huko ofisini wadosi watakua wanamcheka na kumshangaa !!
Wakati mwingine ukifanya makosa tulia subiri upepo upite na upambane nao hivyo hivyo 😂😂

Sasa alikua anatoroka kwenda wapi wakati anajijua yeye ni maarufu bado pia ana jimbo.
Hapa hata wadosi watajiweka pembeni kujifanya hawaoni huo msala atajivua mwenyewe inaonekana hata kubebeka habebeki kabisa

Na hata ukimbeba huu woga alionao hachelewi kwenye kampeni kusema anamshukuru Mama kwa kumchomoa kwenye msala 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…