Nililisema hiliWith a rotten system, Mwisho wa movie lazima ataachiwa huru tu. Manakumbuka Kigwangala aliwahi kutuhumiwa kumpiga mtu risasi ya mguu? Nini kiliendelea? Bashite na Sabaya wapo uraiani na kulikuwa na evidence za uhalifu hadi footage za CCTV camera. Msitarajie jipya hapo, baada ya Wiki moja hili sakata litasahaulika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu!!Daah yaani hapa ndo kaharibu kabisa !! Nahisi hata huko ofisini wadosi watakua wanamcheka na kumshangaa !!
Wakati mwingine ukifanya makosa tulia subiri upepo upite na upambane nao hivyo hivyo [emoji23][emoji23]
Sasa alikua anatoroka kwenda wapi wakati anajijua yeye ni maarufu bado pia ana jimbo.
Hapa hata wadosi watajiweka pembeni kujifanya hawaoni huo msala atajivua mwenyewe inaonekana hata kubebeka habebeki kabisa
Na hata ukimbeba huu woga alionao hachelewi kwenye kampeni kusema anamshukuru Mama kwa kumchomoa kwenye msala [emoji23]
Tatuzo lako ni shule za kataTatizo uliye na ushahidi huendi mahakamani
Halafu wala hajajiuzulu bali katenguliwa. Haki hii nchi tuna viongozi kenge wengi saana. Bado anaitwa mbunge afutwe ubunge nao kama hataki kujiondoa mwenyewePauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Kama na wewe ni miongoni mwa Rubbish prof's huna impact yoyote kwa jamiiTatuzo lako ni shule za kata
Hivi kweli unaamini kabisa huyu anaweza kukimbia? Hata akienda mahakamani ni ngumu kuthibitisha alikuwa anatoroka maana sidhani kama alizuiwa kwenda kenya kama kweli alikuwa anafanya hivyo halafu kulikuwa na arrest warrant? Tafsiri ya kutoroka ukiwa mtaani na ukiwa mahakamani ni vitu viwili tofauti!Mahakama itaamua.
Amekosea kujaribu kukimbia maana yake ana makosa.
Unaweza ukapata cheo ,fedhaDunia hii ni ya ajabu sana sisi tunapigania chakula kwa familia zetu kuna wengine wana kila kitu ila kiburi tu kinawaponza angejua wenzake tunavyotamani alivyokuwa navyo angetulia na kumshukuru mungu, kaibiwa vitu vya thamani ndogo tu nina uhakika angeweza kumuachia mungu akatoa sadaka au aache sheria ichukue mkondo wake matokeo yake unapoteza kila kitu kisa kiburi
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
Baadae watasema walikosea. Jamhuri itakata rufaa atashindaMahakama itaamua.
Amekosea kujaribu kukimbia maana yake ana makosa.
Sitashangaa😅Baadae watasema walikosea. Jamhuri itakata rufaa atashinda
Kuna kigwangwala nae,tuhuma za kuwatesa wafanyakazi wakehana alicho ibiwa...chawa wake alimwambia kuwa mmoja wawafanyakazi wake muhudumu wa hoteli yake amekuja hapo kwaajili ya kumpeleleza na kumuwekea dawa za kienyeji...
huyu mbunge kwa kutumia akili za makalio akamteka huyo mfanyakazi wake na kumtesa mateso yaliambatana na kuamrisha aungiziwe chupa sehemu za siri😭😭😭😭 kijana wawatu akaingiziwa chupa makalioni😭😭😭
inasikitisha sana kwa alichokifanya huyu mbunge....tuishukuru sana mitandao viongozi wengi ni majambazi ila siri zao atujawahi kuzithibitisha...
kidogo kidogo wasipo jirekebisha mambo yatakuwa dhahiri🤣🤣🤣🤣
Hivi kweli unaamini kabisa huyu anaweza kukimbia? Hata akienda mahakamani ni ngumu kuthibitisha alikuwa anatoroka maana sidhani kama alizuiwa kwenda kenya kama kweli alikuwa anafanya hivyo halafu kulikuwa na arrest warrant? Tafsiri ya kutoroka ukiwa mtaani na ukiwa mahakamani ni vitu viwili tofauti!
Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.
Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.
Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P
Alikwambia anaenda Kwa ajili ya shughuli zake? Au hao wengine aliwaambia anatoroka?Naombeni sana serikali yetu iheshimu haki za binadamu ikiwemo freedom of movement!.
Toka tukio limetokea mpaka leo kama PT hawakuisue arrest warrant, huwezi kumuita anataka kutoroka wakati hakuna arrest warrant yoyote!. Mipaka yetu yote ni very porous, mtu anayetaka kutoroka atapitia border post wakati kuna panya roads kibao?.
Gekul alikuwa anakwenda Kenya kwa shughuli zake za kawaida na sio kutoroka!.
P