Mbunge Saashisha Mafue adaiwa kuwalipa vijana walioajiriwa kazi ya muda ya Postkodi Tsh. 15,000 kwa siku mkataba wa siku 15

Hiyo ni Kazi ya serikali sio mbunge.
 
Wacheni kuandika taatifa za kusambaza chuki bana ni lini umewahi sikia mbunge anahusika na mambo za postkodi ?? Kweli wewe ni mpumbavu kabisa. Na taarifa zako za kipuuzi sana
 
Mbunge wa Jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe hongera sana kwa juhudi kubwa na nzr unazoendelea kuzifanya katika kuijenga Hai yetu. πŸ™πŸ½
 
Hizi pesa huenda baadhi ya halmashauri zinaiba hizi pesa.


Kwanini kuwe na utofauti wa malipo wa hizi pesa?

Kwanini baadhi ya halmashauri ziweke wazi malipo yatakuwa ya sh. 30000 kwa siku huku zingine zishindwe kutangaza kiasi watakacholipa na idadi ya siku?

Taasisi za usalama wa Taifa zifuatilie hili na zipelekwe taarifa kwa amri jeshi mkuu kwa hatua zaidi kwa. halmashauri zote zinazotaka kukwamisha zoezi hili la postkodi
.

Ila mleta mada Mbunge hahusiki na kuajili au kuwalipa hao vijana.Mhusika mkuu ni mkurugenzi wa halmashauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…