KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Wameshaunganisha uzi😂🤸Ukinunua line unalipa mtandao unakatwa ushuru. Ukinunua vocha unakatwa, ukituma hela unakatwa, ukitoa hela unakatwa, ukinunua umeme unakatwa ya umeme na nyingine, tozo unakatwa…..
unakatwa unakatwa unakatwa “UNAKATWA”.
View attachment 3004582
Wewe na Yeye MNAKATWA...YUPO SAHIH GOOD IDEA
We hamsini kwako ndogo mie huku nikubwa bora hio tozo isibitishwe kabisaShilingi hamsini si kitu, wakate hata 100 Kwa kila laini.
Una utoto mwingi sana. Tafuta jukwaa la vitoto wenzakoNitajie Nchi ambayo wanachukuliwa hatua na upuuzi haujirudii.
Pumbavu,nitajie hiyo Nchi hapa unahamisha magoli 😁😁😁😁Una utoto mwingi sana. Tafuta jukwaa la vitoto wenzako
PoleeeMimi waliikata jana hadi huruma
Na road fund inafanya nini? Unafahamu kuwa anachotaka kifanywe tayari Kuna mfuko na tunakatwa pesa kila tunaponunua mafuta?YUPO SAHIH GOOD IDEA
Hawa chawa akili zao wanazijua wenyeweNa road fund inafanya nini? Unafahamu kuwa anachotaka kifanywe tayari Kuna mfuko na tunakatwa pesa kila tunaponunua mafuta?
Hivi mnafahamu hata yanayoendelea nchini kweli?Naunga mkono hoja,hakuna mjomba wa kujenga Nchi hii ,watu wanataka Barabara ila hawataki kuchangia pesa za ujenzi, unadhani pesa itashuka na mvua?
Wewe kuwa na akili, Waziri kaeleza vizuri tuu kwamba Road fund inatosheleza asilia 40% ya mahitaji ya matengenezo.Hivi mnafahamu hata yanayoendelea nchini kweli?
Road fund ipo kwenye kodi ya mafuta, yani inalipwa na hata wanaowasha majenereta ya umeme, mbunge hana hata taarifa ya anachojengea hoja.
Ubunge wa Viti maalumu ni kama laana tu, unajaza bungeni watu amabo hawana hoja za maana zaidi ya kujipemdekeza kwa wakubwa.
Wewe mbumbumbu kama unajua ni Changamoto zenu na hakuna mjomba unataka nani akutolee pesa? 😂😂Umtoe nishai nani wewe chawa na akili yako kisoda,hapa tunajadili changamoto zetu hayo ya nchi nyingine yanahusiana nini na udhaifu wa bunge letu? Utaahira wako jadili na chawa wenzako ambao wanaona watawala ni malaika na hawakosei.
Ungekuwa na akili ungeanza kwanza na report ya Cag,Wewe kuwa na akili, Waziri kaeleza vizuri tuu kwamba Road fund inatosheleza asilia 40% ya mahitaji ya matengenezo.
Traffic Zinazidi kujua ,uharibu inaongezeka so unategemea Nchi itasalia na kiwango hicho hicho Cha Bajeti?
Chawa ni kwa nyie mliokosa mifumo ya kujiingizia kipato.Na wewe kuwa chawa kama inakuuma la sivyo utalipa Kodi utaje usitake
Ndio hivyo utalipa ,utukane au ucheke ,,utake unapigwa usitake unapigwaChawa ni kwa nyie mliokosa mifumo ya kujiingizia kipato.
Upigaji mkubwa upi? Ripoti ya CAG imefanyaje?Ungekuwa na akili ungeanza kwanza na report ya Cag,
Kama upogaji ni mkubwa unategemea hata hiyo road fund itapona?
Unafahamu kuwa kadiri volume ya mafuta inavyo kuwa kubwa na hiyo kodi nayo inakuwa? Una hata data za Tra kuonesha kuwa kweli kinachokufanywa ni 40% au unasikiliza tu na kuimba kama kasuku.
Kwa upeo wako hata Waziri akikwbia kuwa mwaka huu hakuna road fund utakubali tu.