Mbunge Shabiby aibua ufisadi wa kutisha EWURA, Waziri wa Nishati Kalemani asema walishavunja mkataba na kampuni fisadi

Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.
Ramadhan maqbul.
 
Mh. Shabiby apewe ulinzi haraka...😊
Naunga mkono hoja....!!!
Mommy afanze mpango chapchap la sivo huyu Mhe. Shabiby anaweza kupotea katika mazingira ya kutatanisha au kutekwa na Watu WASOJULIKANA...!!!
Tukumbuke wale jamaa almaarufu WASIOJULIKANA bado wapo ingawa Mwendazake kashatutoka.
OGOPA SANA SUKUMA GANG FROM CHATO......!!??
 
Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.
Ramadhan maqbul.
Yakhe, mie mpaka nkafikri dadetu keshapewa Uteuzi na mama Sameer Suluhu Hassan ati. Nsha anza kuwa na wasiwasi shekhe! Karibu tena dada FaizaFoxy!!!
 
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.


Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Baada ya kusikia john katoka ndiyo unajitokeza tena baada kuwa mafichoni
 
Watakuwa wamepiga sana mpunga just imagine 5b kila mwezi kwa miaka 5
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…