Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Ramadhan maqbul.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Naunga mkono hoja....!!!Mh. Shabiby apewe ulinzi haraka...😊
Yakhe, mie mpaka nkafikri dadetu keshapewa Uteuzi na mama Sameer Suluhu Hassan ati. Nsha anza kuwa na wasiwasi shekhe! Karibu tena dada FaizaFoxy!!!Bibie kimya chako mpaka kiliniogopesha. Nimefurahi leo kukuona tena kwenye JF.
Ramadhan maqbul.
Tutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Upo sahihi maana hilo kundi bado lina machungu na ndiyo hao hao wapigajiMh. Shabiby apewe ulinzi haraka...[emoji4]
Waanzie wapi?Ufisadi wa kutisha wa Magufuli wazidi kuanikwa
Kama Shujaa wa Mazezeta angelikuwepo asingeruhusu haya yaibuliwe
Tena bila kuchelewaKalemani akamatwe haraka sana
Yupo chatoDalali wa AstraZeneca anasemaje?
Baada ya kusikia john katoka ndiyo unajitokeza tena baada kuwa mafichoniTutasikia na kuona mengi sana hivi sasa.
Ni heri wabwabwajaji tulijikalia pembeni. Ubabe usio na maono ulitushinda.
Na wewe ni kibaraka wa wachina na kikngozi wa magisadiNdiyo anasemaje kuhusu petrol? Kuna watu humu wanaishi kwa kufuata mawazo ya vibaraka wa mabeberu - Lissu, Mbowe, et al. bila hao hawawezi kuwa na msimamo.
Kunguru muoga daima ukimbiza bawa lakeKumbe
Bora hujala matapishi yako, mlikuwa mnaumia lakini mkifunua mabakuli mnalo
Alikimbia jina John.Kumbe upo ramadan maqbul
Kalemani anajidai ni mzareeendoo kumbe ni mpigajiNchii hii watu wanakula sana keki.......kila mtu akipata nafasi anapiga tu, maana haina mifumo mizuri
Ufisadi kwa kwenda mbeereeeeNa awamu ya 5 ukaendelea..!!!
Ndiyo kwanza alikuwa anamwagilizia na kutia mbolea kusudi wapate mavuno yaliyo boraBwasheee tulikubaliana kwamba JIWE alimaliza Ufisadi.
Mabingwa wa ufisadiCcm bana
Kumbe Ngeleja ni mwana cdmHii itakuwa iliingiwa na Ngeleja bwashee!
Watakuwa wamepiga sana mpunga just imagine 5b kila mwezi kwa miaka 5Kalemani ni Mbunge wa chato na Watu wa chato wanajulikana kwa upigaji wa pesa za walipa kodi? Kampuni ya nani hii yenye huu mkataba!? Usikute ni kampuni ya Jiwe? Na huu mkataba umesitishwa lini? Details ziwekwe hadharani tangu mwanzo wa mkataba hadi kusitishwa kwake.
Bila kuchelewaMhe. Rais ni wakati muafaka kutengua nafasi ya Kalemani haraka sana.
Siamini maneno haya kama ni yakoKufa kufaana.